Jamii ya wahadzabe ilindwe, baada ya miaka 8 hawatokuwepo tena

Brasili na India Kuna jamii adhimu zinalindwa kwa nguvu zote
Unailindaje jamii na haya mapinduzi ya kijamii yanayoendelea, maeneo ya mapori yana rasimishwa, binadamu wanaondolewa na kubakiza wanyama kulinda ecologia ya wanyama pori na misitu, binadamu tumeonekana ni waharibifu wa misitu na,ecologia ya wanyama.

Hazabe wao wanahama hama kulingana na mahitaji na msimu, hawatulii, sio wafugaji siyo wakulima wanazagaa kutafuta wanyama kula, asali kula, matinda kula, hawaoteshi hawafugi, ni ngumu ila inawezekana kuwalinda, ila kwa sera za utalii kwa sasa watatoweka.

Serikali inawataka watulie iwajengee makazi, wao hawakatai chochote, ila kufanya hivyo ni kuwabadirisha kuwataka wawe tofauti na asili yao.
 
Unawalinda ili iweje ikiwa wenyewe hawataki kulindwa? Wanataka kuishi maporini na kula vya bure na hawataki kulipia LUKU.
Ndiyo waachwe kwa kuwa wenyewe wameamua kukaa porini ni maamuzi yao, msiwapelekee maambukizi yenu na mavyakula yenu inayoleta kansa
 
Wewe ubongo wako huo uliojaa kamasi ndo unaamini "forced civilization" inaleta nafuu ya maisha na binadamu hupata mahitaji yake yote ya msingi?.
Taahira wewe fumbua ubongo huo hii so called "civilization" ni mfumo wa kuwaneemesha wachache na kuwakandimiza mamilioni

Kwenye hili taifa ni watu wangapi mmepats elimu lakini mnalia maisha magumu? Hata kula ni shida, Sasa hiyo civilization yenu imewasidia nini?
Watu wangapi wamesoma halafu wakajinyonga au kujiua kwa ugumu wa maisha?

Hizo shule zenu mnafundishwaga nini? Ujinga au?
 
Wewe kuwa huru hakuna anayekuacha mjini
Unaweza kwenda kusihi pori lolote ukawe kivutio watu wapige faida kupitia mgongo wako na wewe hupati chochote kukusaidia

Huna haja ya kunya hata kwenye choo nenda ukanye porini chimba shimo, kunya tu kama mnyama

Wewe bado una mawazo ya kishamba, hakuna ulichoandika cha msingi
 
Kudadadeki natamani nikutukane bongesa la mtusiiiii

Wewe huyo Charles Darwin umewahi kumuona?
Amekusaidia kwenye kupunguza ugumu wa maisha?

Pumbavu zako
Pumbavu mwenyewe mtoto wa malaya usiyejuwa baba yako nani!! Unajuwa matusi tu uliyorithishwa na mama yako
 
Inashangaza. Watu wanataka kutumia wengine kama vivutio. Yaani anataka wabaki kwenye hayo maisha duni ya porini na wasipate maendeleo yoyote. Ukweli ni kwamba makabila kama haya miaka miachache ijayo yatachanganyika na kuhama porini.
 
Pumbavu mwenyewe mtoto wa malaya usiyejuwa baba yako nani!! Unajuwa matusi tu uliyorithishwa na mama yako
Elimu yetu ilimekuwa ya hovyo kiasi ambacho kila mtu aliyeko kwenye vitabu unatakiwa uwe umeonane naye ndiyo uweze kumzungumzia.
 
Kapepsi kalivyo katamu hivi halafu hutaki wenzio wanywe, una roho mbaya wewe.

Kama yale ni maisha mazuri kwanini wewe usiende kuungana nao, kinga mwili zako na zao zitakua sawa baada ya muda tu.
 
Ndiyo waachwe kwa kuwa wenyewe wameamua kukaa porini ni maamuzi yao, msiwapelekee maambukizi yenu na mavyakula yenu inayoleta kansa
Na wenyewe siku hizi wana kansa kutokana na kula vitu visivyoliwa, zamani walihisi ni magonjwa ya kawaida kumbe imebainika ni kansa.
 
Pumbavu mwenyewe mtoto wa malaya usiyejuwa baba yako nani!! Unajuwa matusi tu uliyorithishwa na mama yako
Kama mama yako siyo Malaya wewe ulipatikanaje?

Sio baada ya babako kumuhonga kipande cha muhogo?
 
Haa Mwaka Huu Uchaguzi Lazima Watangaze Wazi Hawapigi Kura Mpaka Nyama Iletwe Nyingi Sana
 
Wahadzabe wakisema kwamba wao kuishi vile ni haki yao, utawakatalia?
 
W
We uko tayari ukaishi nao maisha hayo? kwa vile ni mazuri hamna magonjwa!
 
Kama mama yako siyo Malaya wewe ulipatikanaje?

Sio baada ya babako kumuhonga kipande cha muhogo?
Mama yako ni Malaya ndiyo ulivyopatikana. Baada ya banako kumhonga kipande cha muhogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…