Hao sio waislamu, ni kikundi cha wahuni ambao wanaeneza propaganda za ushoga kwa mgongo wa dini.
Mkuu, wamejitambulisha kuwa wao ni Waislam na misikiti wanayoswali inajulikana.
Kingine, nilwahi kusema kwamba Uislam siyo dini bali ni approach anayoitumia Mwarabu kusambaza utamaduni wake.
Kiimani, Uislam wa Magharibi na Ule wa waarabi ni tofautika kabisa kama Mbingu a nchi.
Uislam wa uarabuni unabebwa na kusimamiwa na kulindwa na serikali, ukiukosea Uislam utaadhibiwa na serikali, serikal zinafuata sheria na matakwa ya uiislam.
Wakati upande wa Magharibi, huku uislam unatakiwa kuheshimu sheria na utamaduni wa watu wa nchi hizo. Uislam unapangiwa maelekezo, uislam ukikosea unaadhibwa.
Hakuna Mwislam anayetoa nchi ya Kiislam na kukimbilia nchi nyingine ya Kiislam, bali wanakimbiliap uislam wa Magharibi sababu Uislam wa Magharibi kwao ni kama 'umebatizwa' au umetahiriwa, ndiyo maana wanakimbilia zaidi Maghari, hawautaki tena ule uislam ambao haujakatwa (govi).
Tukirudi kwa hao waandamaaji, ni waislam, uislam wa Magharibi imam wa kike anaswalisha wanaume, kuna hadi maiam mashoga