ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Mashoga wapo kila mahali , kwasababu yale mambo ni ya chumbani, ila kitendo cha serikali kuruhusu hawa watu kuutangaza na kuadhimisha ufiraji kwa kufanya maandamano hadharani huu ni ushetaniSiyo kweli dogo.
Mbona uarabuni wanakotumia SHARIA kuna ushoga?