Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Amejirekodi mara kadhaa akisifia kuliwa, ametoa voice note mara kadhaa akijisifia kulowa, WhatsApp chats zake Mara kadhaa zimevuja akijisifia kulowa. Hii kwenye uislamu haitoshi kumzuia kuingia msikitini?Huyo ulomtaja ukiambiwa ulete ushahidi kama shoga huna acha kuchafua watu
Huko zenj aande rama video zipo bado anaingia, mauzinde nae anajulikana na kila mtoto mdogo lakini bado msikitini anaingia.
Acheni unafki