Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mbona huko uswahilini watu wanaitana shoga kiholela?Kwenye uisilamu ili mtu awe classified kama shoga inabidi watu wanne wazima wenye akili zao timamu washuhudie hicho kitendo, mtu kuwa na tabia tabia za kike haimaanishi ni shoga, kumdhania vibaya mwanadamu mwenzako pia si tabia nzuri.