Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Una weza bishana kwa hojaMnapiga Qaswida na kutaka mauno? Ila haya mambo ngoja niwaachie wenyewe pambaneni na hali zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una weza bishana kwa hojaMnapiga Qaswida na kutaka mauno? Ila haya mambo ngoja niwaachie wenyewe pambaneni na hali zenu
Nmewaacha na mambo yenu hamchelewi kutupa majiniUna weza bishana kwa hoja
Kwa sababu wakiristo wa bara wanazuia kuanzishwa sheria za kiislam. Zikiwepo tu yote hayo yataondokaMbona zbar, pemba, Tanga, mombasa ushoga, ubasha na ufiraji umekubuhu?!
Shida ni chakula?
Anaepinga nani tunachopinga ni kwamba hayo yanayofanywa uislamu umeyakataza mimi nikizini haimaanishi uislam umezini au umeruhusuWanajitekenya ndio maana wanatumia nguvu kubwa kusafisha hayo mambo ila yapo na yatakuwepo. Sasa kuna movement ya Waislamu kula nguruwe. Hiyo wataipinga.
Ila chakushangaza nchi za magharibi zisizotawaliwa na waarabu kwao lgbtq ndio halaliHiyo michezo yao walishafunzwa na waarabu tangu wanakuja hapa nchini.
Angalia hata takwimu za mashoga utakuta ni mikoa iliyokaliwa na waarabu ndo inaongoza pia wanawake zao hawana linda kuanzia Zanzibar na Pwani kwa ujumla.
Bora hao wameamua kukataa vuguvugu wameona wawe moto tu ieleweke
Kuna mambo ukifanya yanakutoa kwenye uislam na mengine hayakutoi kwenye uislam ila unapata tu dhambi kwanza uelewe hapaVipi kuhusu walevi, wanafiki, wezi, wazinifu, wuaji manake hao wamejaa kila sehemu na wengine ni masheikh wakubwa na maharufu. Je nao si Waislamu?
Ila chakushangaza mataifa ya kimagharibi ndio yanatambua lgbtqHUo ucjafu ni jambo la kawaida sana kwa Waarabu. Tofauti ya Waarabu na wazungu, waarabu hiyo tabia chafu ya kupitia mlango usiofaa, wengi wamekuwa wanawafanyia wanawake, wachache wanawafanyoa hata wanaume; wakati wazungu zaidi wanawafanyia wanaume kwa wanaume.
Lakini huo uchafu, hasa dhidi ya wanawake, ni kawaida sana kwa waarabu. Ndiyo maana hata huku East Afrika, unakuta hizo tabia ni common sana kwa jamii za pwani, ambako ndiko hasa waarabu waliishi sana.
Huyo ni shoga tangu akiwa mcheza 'shoo' labda kama mjini umekuja juzi, ashawekwa sana kinyumba na trips za Dubai na Oman enzi hizo zilikuwa kama kutoka Sinza kwenda Kariakoo, bora siku anasafiri kwa pesa za mshahara wake.Huyo ulomtaja ukiambiwa ulete ushahidi kama shoga huna acha kuchafua watu
huwa nawaona ni wendawazimu fulani wenye akili ndogo, brain washed wasioweza kung'amua mambo ya dini/imani yao.Ngoja waje wale wa proud to be a muslim.
Huna hoja una ushahidi ulimuona wakati anaingiliwa kinyume wewe umekuja mjini zamani ila bado mshambaHuyo ni shoga tangu akiwa mcheza 'shoo' labda kama mjini umekuja juzi, ashawekwa sana kinyumba na trips za Dubai na Oman enzi hizo zilikuwa kama kutoka Sinza kwenda Kariakoo, bora siku anasafiri kwa pesa za mshahara wake.
Hizo ni propaganda za magaidi ya KiyahudiUislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.
Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano.
View attachment 3140563
View attachment 3140946
Vyakula vya UK sio poa
Vinafanya mabadiliko fasta
Acha waolewe tu
Aisee hiyo kaswida ya kukata mauno nilikutana nayo mwananyamala na magomeni... Hatari sanaKatika vitu ambavyo ulimwemgu wa dini hauwezi pambana nao ni MUDA. Muda ni jibu zuri kwa kila jambo chini ya jua.
Leo kumeshakuwa na mitume na manabii ndani ya uislam. Kumeshakuwa na uimbaji wa kaswida wa hovyo tena wanakata mauno kama miziki ya kidunia. Sasa kuna mafuta na maji ya upako misikitini.
Hata kama mnatumia nguvu nyingi kupambana na hivyo vitu ila muda ni jibu la mambo yote.
Tuombe uzima huku yetu yakiwa macho na masikio. Tutaona na kusikia zaidi ya hayo.