Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Status
Not open for further replies.
Kama ndivyo
Uislamu unasemaje kuhusu wazinzi ?
Je Uislamu unasemaje kuhusu walevi ?
 
Ni kweli ila cha kushangaza kuna WANAFIQ humu wanasema hao si Waislam na Hakuna Muislam Shoga🤣🤣🤣
Katika sheria ya dini ya uislam kuna mambo ukiyafanya umeshatoka nje ya uislam na SIO MUISLAM TENA yani UMEKUFURU.
Kama unataka urudi kuwa muislam uache hilo jambo na UTAMKE TENA SHAHADA na UTUBU.
Mathalan ushoga.
Ukishakua shoga wewe UMESHAKUFURU NA KUUACHA UISLAM.
Labda uache ushoga,utubu na UTAMKE TENA SHAHADA ndio utapokelewa tena kuwa muislam.
Sheria ya UISLAM ipo hivyo.
Kwahiyo HAO SIO WAISLAM NI MAKAFIRI.
 
Umesema kweli.
Hiki ni kizazi tofauti sana na kile cha magaidi .
Magaidi wametajirisha wafu wengi waliojifanya wenye misimamo mikali . Baada ya kutajirika wanasomesha watoto wao kwenye shule za kidunia zaidi . Wanapata elimu dunia wanawaza changamoto za maisha kisayansi sio kidini.
 
Documentary ya "ALLAH LOVES EQUALITY" imetrend all over the World, sio tu Pakistan lakini zaidi katika nchi za Ulaya na Waislam wengi sana hasa viongozi walisupport hizi movements
 

Attachments

  • MV5BMjc5NjJlNzEtNWZmMi00ODU0LWFhNTMtMTYzMjdmZjI0MjE1XkEyXkFqcGc@._V1_FMjpg_UX1000_.jpg
    342.8 KB · Views: 3
  • images - 2024-11-01T190929.820.jpeg
    48.8 KB · Views: 6
Kwenye uisilamu ili mtu awe classified kama shoga inabidi watu wanne wazima wenye akili zao timamu washuhudie hicho kitendo, mtu kuwa na tabia tabia za kike haimaanishi ni shoga, kumdhania vibaya mwanadamu mwenzako pia si tabia nzuri.
Hizo.ni blah blah na hadithi ila jiandaeni kwa anguko kubwa la maadili linalokuja. Tutaona mengi. Muda ni jawabu tosha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…