Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

Kwamba unanipangia mahali pa kuish
Jikite kwenye mada afrika ni pa hovyo huo ndo ukweli
Unaumia sana kinafsi kwa matusi yako mwenyewe.

Uyameze na uendelee hivyo hivyo.

In essence, with your mindset, it will be hard to reconcile the mental confusion between the reality of Africanism and the myth of meritrocacy.

Kajitathmini kijana.
 
Askofu Malasusa aligoma vipi, kuna ujumbe wa CCM ulipewa nafasi kanisani halafu wa CHADEMA ukakataliwa ?

Sikuwepo kanisani kwenu, si kila mtu ni Mlutheli wa DSalaam na alikwenda msibani. Fafanua alichofanya huyo Askofu
Pwenti
 
Na akitajwa kua aligombea urais,wao watapungukiwa Nini??wao ndo wajinga,unafichaje historia ya marehemu??
Mjinga ni wewe unayedhani likitajwa jina CHADEMA Lowassa atafufuka. Mnatafuta mwanya WA kuhalalisha upumbavu wenu.....mbona mbowe kapewa nafasi ya kuongea kama mwanafamilia na ilihali ni mchaga na Lowasa ni mmasaai. Hilo mbona hamuhoji? Bladifakeni.
 
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi

Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama

Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo

Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA

Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.

Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana

Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA

Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli
KKKT ni kanisa la wafanyabishara, wao hutanguliza pesa zaidi ya chochote. Ndio maana wanafanikiwa katika ujenzi wa miradi mikubwa ya kibiashara ila hakuna uongofu
 
Watu wanaosoma shuleni kwamba Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 na Zanzibar ikapata uhuru mwaka 1964. Wataelewa Nini nje ya kuimba Kila wanachoambiwa?
 
Hivi mnafikiri huyo Malasusa na Gwajima na yule Joshua aliyefariki wana tofauti? Wote ni matapeli. Halfu kwa taarifa yako hakuna kanisa lenye viongozi wenye makandokando kama hilo la KKKT. Maaskofu wake wengi wana asili ya utapeli hivi.
Ndugu kama unataka kufananisha udhalimu WA viongozi WA kidini, basi ukae ukijua HAKUNA VIONGOZI WA KIDINI MATAPELI , WASHARATI, MALAYA, WAONGO, WANAFIKI NA WAUWAJI KAMA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI NA VIONGOZI WA BAKWATA, hao wanabeba kombe kila mwaka. NINA ZUNGUMZIA VIONGOZI NA SIO WAUMINI
 
Tunasafari ndefu sana ya mafanikio na nyanja nyingi sana sababu jamii-yetu imegoma kustaarabika
Wengine wanaamini Siasa ni uadui !
Watu wenye elements za ufisadi ndio wanaoamini hivyo !
 
Ndugu kama unataka kufananisha udhalimu WA viongozi WA kidini, basi ukae ukijua HAKUNA VIONGOZI WA KIDINI MATAPELI , WASHARATI, MALAYA, WAONGO, WANAFIKI NA WAUWAJI KAMA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI NA VIONGOZI WA BAKWATA, hao wanabeba kombe kila mwaka. NINA ZUNGUMZIA VIONGOZI NA SIO WAUMINI
Hakuna dini isiyokuwa na viongozi wenye makandokando. Ila kanisa la KKKT ki-uongozi huwa linakuwa na migogoro ya mara kwa mara na vingozi wake wanakuwa kwenye vita vya madaraka. Kwa kifupi halina organisational structure ya kinidhamu. RC kila kiongozi anajua majukumu yake na uongozi hautolewi kwa kampeni na kura. Sasa huyu mkuu wa KKKT wa sasa huoni ni hasara tupu? Mzee mzima unakuwa chawa wa mama?
 
Salute kwa Dokta Samiah Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kuzungumza vizuri sana mzibani mwa Hayati Kipenzi cha Watanzania wengi Edo
 
Back
Top Bottom