SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Unaumia sana kinafsi kwa matusi yako mwenyewe.Kwamba unanipangia mahali pa kuish
Jikite kwenye mada afrika ni pa hovyo huo ndo ukweli
Uyameze na uendelee hivyo hivyo.
In essence, with your mindset, it will be hard to reconcile the mental confusion between the reality of Africanism and the myth of meritrocacy.
Kajitathmini kijana.