Wengi wanovaa ni waislamu , umejuaje kama hao walivaa na kuwa hivyo ni baadhi ya hao wachache wanaovaa , ambao sio waislamu?Wengi wanaovaa hijabu na vijora ni Waislamu
Mtoto asipoenda shule mzazi ahangaiki nae lkn ole wake asipoenda chuo atapigwa mpaka atapike nyongo!!Wanawake na Watoto wa Pwani hasa wa Kiislamu ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
View attachment 3697979
View attachment 3697980
Na kwa rekodi hakuna mkoa mmoja wa pwani unaongoza kwa mimba kwa wanafunzi , kwenye top 5 , lindi na mtwara 6 na 7, ukitoa hizo tu kwenye 10 bora hakuna pwaniPwani na Dar ni mkusanyiko wa jamii zote za watanzania
Mabaamedi ambao ni kivuli cha ukahaba wanatokea nje ya Dar na Pwani, hususani Singida, Dodoma na mikoa ya kanda ya ziwa na Arusha na Moshi, kwa majina wanajulikana kina Happy, Agnes, Mary nk
Mahausigeli mnaowabaka kimasihara majumbani kwenu na mnawapa mimba na ukimwi wanatokea nje ya Dar, hasa Iringa, Njombe na kwengineko
Dar kuna maeneo yanaitwa kwa “wahaya” ambao si wa Dar au Pwani
Bado una hoja?
Pwani naongelea Dar, Lindi, Mtwara, Tanga na mkoa wa Pwani wenyewe.Pwani na Dar ni mkusanyiko wa jamii zote za watanzania
Mabaamedi ambao ni kivuli cha ukahaba wanatokea nje ya Dar na Pwani, hususani Singida, Dodoma na mikoa ya kanda ya ziwa na Arusha na Moshi, kwa majina wanajulikana kina Happy, Agnes, Mary nk
Mahausigeli mnaowabaka kimasihara majumbani kwenu na mnawapa mimba na ukimwi wanatokea nje ya Dar, hasa Iringa, Njombe na kwengineko
Dar kuna maeneo yanaitwa kwa “wahaya” ambao si wa Dar au Pwani
Bado una hoja?
Umejuaje ni waislamu?
Kwa wanafunzi wa kike hasa wanaokaribia kufanya mitihani hilo vazi anaweza kuvaa yeyote tu , unakuta kasokota vinywele anavificha kwa maandaliza ya kuwepo kitaa tu.Kwamba dini moyoni siyo mavazi siyo?
Sitabishana sana kuhusu hili ila hoja hii ni dhaifu sana.Kwa wanafunzi wa kike hasa wanaokaribia kufanya mitihani hilo vazi anaweza kuvaa yeyote tu , unakuta kasokota vinywele anavificha kwa maandaliza ya kuwepo kitaa tu.
Dini haisaidii chochote katika malezi kwa sababu ni mambo yaliyotungwa na wanadamu. Kinachoweza kumshape mtu akawa na utimamu wa kibinadamu ni Wokovu katika Kristo Yesu.Wanawake na Watoto wa Pwani hasa wa Kiislamu ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
View attachment 3697979
View attachment 3697980