Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Huwezo kukuta shule ya mkoa wa KILIMANJARO , PEMBA, au DODOMA WAGOGO watoto wa kike wanafanya hivi …UJANJA umezidi Dar
 
Kwa hiyo mnasifia fake modesty na kukaripia uwazi?
Sidhani kama ni fake modesty labda ni utamaduni tu, jamii za bara hata kwa watu wazima lugha za ngono na matusi hadharani hasa kwa watu wa rika tofauti sio jambo lililozoeleka tofauti na ilivyo Pwani ambapo ni mambo ya kawaida tu.

Unaweza kusema jamii za bara ziko conservative zaidi kwenye masuala ya ngono, mahusiano na matusi kuliko jamii za Pwani.
 
Mkuu huyu Yoda ni mnafki ma mtu mwenye chuki dhidi ya jamii na dini fulani.

Atakusumbua tu.

Mimi nilimuwekea takwimu za tafiti kuhusu mikoa inayoongoza kwenye mimba za utotoni.

Mikoa iliypo top five yote ni ya bara sio Pwani.

Nikamuuliza maadili unayosema hayapo pwani yapo bara ni yapi au haya ya watu kuwapa mimba watoto waliochini ya umri wa kisheria?

Watoto wadogo wa bara wanatoombana kama ambavyo watoto wadogo wa pwani wanatoombana cha ajabu kwa Yoda watoto wa pwani wanaofanya hivyo hawana maadili na dini haijawasaidia ila watoto wa bara wanaofanya hivyo anawasifia wana maadili na dini imewasaidia.

Sasa mtu wa aina hiyo ya ufikiri ni kumuonea huruma tu.
 
Wewe utakua umekuja mjini juzi.

Kaoge aliekua anakaa tandika ni wa Dar?????
Si mtu wa mara yule…. Vipi omary nyembo siwakigoma sasa nitajie hao mapunga wenye asili ya pwani??
Tatizo lenu USHOGA mmeuficha kwenye dini( uislam) mnahubiri kwa kukemea lakini ndani yake mambo yananuka, Mambo haya tunasema kila siku kuwa pwani ni tatizo, wanawake/wanaume wanaliwa nyuma siyo kawaida.

Usibishe kwa kujifurahisha kijana,
 
Ndio mana nakuambia wewe mjini umekuja juzi.
 
Sidhani kama ni fake modesty labda ni utamaduni tu, jamii za bara hata kwa watu wazima lugha za ngono na matusi hadharani hasa kwa watu wa rika tofauti sio jambo lililozoeleka tofauti na ilivyo Pwani ambapo ni mambo ya kawaida tu.

Unaweza kusema jamii za bara ziko conservative zaidi kwenye masuala ya ngono, mahusiano na matusi kuliko jamii za Pwani.
Kwenye haya mambo ya ufuska na kukosa unyoofu, kutofanya kitu hadharani wakati unakifanya nyuma ya pazia ndiyo fake modesty yenyewe hiyo.

Na maadam wote wanafanya, inawezekana anayefanya hadharani akawa na maadili makubwa zaidi ya anayefanya kwa kificho.

Kwa sababu angalau anayefanya hadharani hafichi, hadanganyi, hajifanyi kuwa msafi wakati ni mchafu, anakuonesha wazi alivyo.

Anayefanya kwa kificho, zaidi ya hayo mabaya anayoyafanya, anafanya baya lingine la kuficha mabaya yake, mumuone msafi, wakati ni mchafu.
 
Jamii ya watu wa pwani walio chukua tamaduni za kiislamu,wenye malezi bora ni minority.
Hisia zako
Nimekulia Pwani na I can tell you all my childhood hadi nakua most of us tulikuwa na tabia nzuri, mambo sio ya hovyo kama mnavyodai
Though familia yetu ni ya Kikristo mostly lakini nimekua around hao waislamu wa Pwani, and they are good people, na wengi tu wana maadili. Mnaangalia video mbili tatu mitandaoni mnageneralize kundi zima la watu
 
Sidhani kama ni fake modesty labda ni utamaduni tu, jamii za bara hata kwa watu wazima lugha za ngono na matusi hadharani hasa kwa watu wa rika tofauti sio jambo lililozoeleka tofauti na ilivyo Pwani ambapo ni mambo ya kawaida tu.

Unaweza kusema jamii za bara ziko conservative zaidi kwenye masuala ya ngono, mahusiano na matusi kuliko jamii za Pwani.
Ni waconservative kwenye maneno tu na si kwa vitendo ,sasa maadili hayawezi kuoneshwa kwa maneno bali yanatakiwa kuoneshwa kwa vitendo.
Huwezi kusema wapwani ni wapenda ngono kuliko wabara hali ya kuwa Kila aina ya uchafu unao husiana na hiyo ngono imewajaa wabara unao dai hawapendi.
Takwimu kuanzia mimba,kuzaliana hovyo kama panya ,na magonjwa ya zinaa,masingo mother.

Kanda ya ziwa hasa mijini na kwenye visenta karibia Kila nyumba kuna singo mother,Kila mji ume jaa madanguro ya makahaba ambao tena ni vibinti vidogo,miji imejaa magesti kuliko nyumba za kuishi.
Sasa hayo maadili yapi ambayo wabara kuwazidi wapwani?
 
Hapa Yoda hawezi kukujibu.

Atakuja atakwambia wa pwani hawana maadili.
 
Naona unaropoka ,hao wanafunzi hata shuoe hawaguswi ulishawahi kuona madrasa Kuna ujinga kama huo ? Kule Kuna bakora za maana tu ,ukileta ushenzi.

Hapo tafuta video za graduation zao ,wanacheza mbele ya walimu..Wewe unashangaa hapo ...Watoti hawapigwi hata walimu huko shule wameona wasiwaguse watajue wenyewe.

Katika uislamu ,hakuna ujinga kama huo wangeshanyooka ,kwanza hata hizo hijabi Zina makosa kama yote ..Hijabi fupi kama kipepeo wakati ilitakiwa ukaa usawa wa mikono.
 
Daah hujakosea nimeishi pwan mda mrefu sana aiseee kuna kale ka utamaduni ka kucheza watoto wakike weeeee watoto wanakua kama wanapepo la ngono

Kuna mmoja mtoto wake yupo form one anampa dawa za uzaz wa mpango et anaogopa kuletewa mjukuu

Kwa Sasa nimehamia kusini Sasa sijui mambo ndo yaleyale ngoja nione na hawa
 
Ni waconservative kwenye maneno tu na si kwa vitendo ,sasa maadili hayawezi kuoneshwa kwa maneno bali yanatakiwa kuoneshwa kwa vitendo.
Huwezi kusema wapwani ni wapenda ngono kuliko wabara hali ya kuwa Kila aina ya uchafu unao husiana na hiyo ngono imewajaa wabara unao dai hawapendi.
Takwimu kuanzia mimba,kuzaliana hovyo kama panya ,na magonjwa ya zinaa,masingo mother.

Kanda ya ziwa hasa mijini na kwenye visenta karibia Kila nyumba kuna singo mother,Kila mji ume jaa madanguro ya makahaba ambao tena ni vibinti vidogo,miji imejaa magesti kuliko nyumba za kuishi.
Sasa hayo maadili yapi ambayo wabara kuwazidi wapwani?
Mimi nipo Mbeya huku, good place by the way. I like Mbeya
Lakini kuna sehemu inaitwa Mafiati, hapo ikifika usiku mademu wanajiuza hatari. Na huku ni Mbeya hata si Pwani
Watanzania ni walewale tu, iwe Pwani au bara watu wenye mmomonyoko wa maadili wapo kila sehemu. Na wenye maadili pia wapo wengi tu
Watu huwa wana chuki binafsi na mikoa ya Pwani, na sababu ya kuchukia Pwani though hawata admit lakini ni kwa sababu Pwani imetamalaki uislamu. Recently nimeona thread nyingi sana za kukandia waislamu kitu ambacho kwangu naona ni pointless
Mimi pamoja na kuwa atheist, sijawahi kuchukia dini za watu unless watu wanapoanza kuongea pumba kupitia dini zao ndio naanza kupinga effects za kutolewa akili na dini
Other than that ni watu walewale tu. Watanzania ni walewale, ukiachana na mambo ya dini tunafanana kwa kiasi kikubwa, wabaya na wazuri wapo wa dini zote. Naona ni pointless kuichukia Pwani kwa sababu za kipuuzi kama dini
 
Kwenye haya mambo ya ufuska na kukosa unyoofu, kutofanya kitu hadharani wakati unakifanya nyuma ya pazia ndiyo fake modesty yenyewe hiyo.

Na maadam wote wanafanya, inawezekana anayefanya hadharani akawa na maadili makubwa zaidi ya anayefanya kwa kificho.

Kwa sababu angalau anayefanya hadharani hafichi, hadanganyi, hajifanyi kuwa msafi wakati ni mchafu, anakuonesha wazi alivyo.

Anayefanya kwa kificho, zaidi ya hayo mabaya anayoyafanya, anafanya baya lingine la kuficha mabaya yake, mumuone msafi, wakati ni mchafu.
Hii hoja nimeikubali, tatizo hapa kwetu unafiki, hiyo ya kuwa wazi wanataka kundi fulani tu, na sio lingine, Lol
 
Daah hujakosea nimeishi pwan mda mrefu sana aiseee kuna kale ka utamaduni ka kucheza watoto wakike weeeee watoto wanakua kama wanapepo la ngono

Kuna mmoja mtoto wake yupo form one anampa dawa za uzaz wa mpango et anaogopa kuletewa mjukuu

Kwa Sasa nimehamia kusini Sasa sijui mambo ndo yaleyale ngoja nione na hawa
Kusini si ndoa sawa na pwani tu, utamaduni wao m1.
 
Wanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.

Mwaka 2022 nilienda kituo cha afya cha maji matitu mbagala kama mtaalamu wa ultrasound.

Asilimia kubwa ya wateja (wajawazito) waliokuwa wanakuja kufanya ultrasound ni miaka 15 hadi 17. Nilishangaa sana aisee
 
Back
Top Bottom