Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Mkuu,

Hata mimi nilikuwa naona hili ni janga la kitaifa, ila kwa watu wenye chuki na kasumba ya kuwaangushia jumba bovu watu fulani, hapo hapo wanaitumia nafasi hiyo kuwanyanyapaa.

Nenda Arusha, nenda Mwanza, nenda Kigoma, nenda Dodoma, kote watoto wamepinda huko.

Sasa huko nako ni pwani?

Yani tunataka kusema haya matatizo ya ndoa, malezi, watu kuuana, kubakana, ni ya pwani tu?
Wanaingiza udini(dini fulani)mbona hatujawahi ona shule kama al muntazir wakifanya mambo hayo
Hao watoto inaelekea wanataka kutrend tu
Na kutokana mazingira yaliyowazunguka

Ova
 
Inatakiwa iwe hivyo ile tuendelee kuvito.mber.

Inshu ya maadili huwezi pata kwwnye jamii ambayo ndoa ni sehemu ya kufanyia umalaya,pwani kuoa na kuachika ni kama kuingia chooni na kutoka wala sio inshu.

Mwisho wasiku singo maza kibao,hayo ndio matokeo yake sasa jamii ya hovyo hovyo..msingi wa haya yote ni uislam kueneza umalaya kupitia ndoa za haraka haraka na taraka za dakika zero.
Mshapewa green light 😄

Ova
 
Ila sheria imeshupaza shingo kwa kumfunga mtoto wa kiume miaka 30 bila huruma akigundulika katembea na hivyo vitoto...
Watoto wenyewe sasa wanaotetewa, wana experience kuliko hata hizo sheria zenyewe...


Cc: Mahondaw
 
HAO WASICHANA WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NDIO UMRI WA KUOLEWA HUO. TATIZO MMEZOEA WAZEE. MLITAKA WASEMEJE? HAMJUI HATA MAADILI NI NINI

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Sisi Watibeli, wazee wa maadili, wataalamu wa saikolojia, wabobevu wa fiziolojia na anatomia. Tunajua kabisa, mwanamke umri sahihi wa kuolewa ni chini ya miaka 20.

Hiyo video ya hao mabinti wako sahihi kwa asilimia mia moja. Hao wanaowakemea ndio hawajui maadili. Mlitaka wasemeje?

Kimila, kiafrika wanaoa wake wengi. Hivyo onyo lao la kusema wenye waume na wachumba zao mkaechonjo, mkae macho ni onyo halisi na la kweli. Kwa sababu ni kweli sisi wanaume tunapenda mabinti wa umri huo.
Ni kweli kwamba sisi Waafrika tunauwezo wa kuoa Wake zaidi ya hata saba mpaka kumi.

Hivyo binti aliyemaliza kidato cha nne ashakuwa mkubwa kiumri, na kimaumbile na wengine kiakili. Hivyo sisi wanaume tunauwezo wa kuoa na kuwachukua wakawa Wake zetu au wake zetu wapili mpaka watatu.

Oooh! Robert unaongea tuu, acha ujuaji! Binti wa miaka 17-19 ni mdogo. Bla blah blah!
Binti aliyemaliza kidato cha nne sio mdogo hata kidogo.

Ndio yale ya kusomea ujinga. Jamii imepotoshwa sana.
Kwanza binti wa umri huo akizaa hata mtoto,huyo mtoto anakuwa akili imechangamka. Tofauti na mwanamke akizaa akiwa na miaka 25 au 30+.

Binti chini ya miaka 20 wengi wao wanamapenzi ya kweli. Yaani bado hawajaharibiwa sana. Ni kama gari tuu. Injini haijafunguliwa na fundi hawaijui sana.

Watibeli tunafalsafa isemayo, huwezi Pata mapenzi ya kweli kwa mwanamke aliyekomaa au mwanaume aliyekomaa.
Mapenzi ya kweli ni binti aliyechini ya miaka 20. Na akichelewa sana miaka 23.

Ninyi si kila siku mnalalamika wanawake hawasikii. Sijui wanawake wa siku hizi. Nani aliyewaambia hawasikii?
Wewe umchukue mtu anazaidi ya miaka 25 huko au 30 huko unategemea atasikia. Huyo ni mtu mzima mwenzako. Tayari kuna waliomsikilizisha. Utamuambia nini kipya.

Mimi ndio ningekuwa kijana ambaye sijaoa. Au ni mzazi wa kijana ambaye hajaoa. Basi ningemwambia kijana wangu. Binti wa kuoa ni Hao. Miaka 15-20 hapo.

Unamchukue huyo binti akiwa na wenge lake. Bado hajui mambo mengi kama wanavyosingiziwa. Au anajua lakini hana uzoefu. Hajui kuumizwa.
Unamkuza polepole.

Unamtoa kuanzia chini, matokeo yanatoka. Kama anaendelea kidato cha tano. Mnaendelea hivyohivyo. Akifika chuo unaoa kabisa. Hapo umekaa uchumba walau miaka mitatu. Kuanzia alipomaliza kidato cha nne mpaka anafika chuo au anamaliza chuo.

Sio unachukua binti ndio anamaliza chuo. Mambo yanakuwa mengi. Huo uchumba mtakaa lini? Mtu kamaliza chuo anamiaka 23. Uchumba mnakaa miaka miwili au mitatu. Anakuwa anamiaka 26. Kwa uelewa wako hapo mtafika kweli? Hapo mwanamke anakuwa kwenye shinikizo la kutaka kuolewa na hapohapo maisha mazuri.

Binti wa kidato cha nne, shinikizo lake linakuwa dogo. Anachohitaji ni mapenzi yako, pesa ndogondogo na ushauri wa shule. Amalie!
Mambo ya ndoa hana haraka nayo.
Akimaliza chuo wewe ushajipanga vyakutosha, unaoa mtoto mbichi uliyemkuza mwenyewe.

Alafu kuna mavijana yanakuambia hakuna Bikira. Nani kasema, nusu ya watoto wanaomaliza kidato cha nne wanabikira. Anayebisha aje tukafanye tafiti. Robo ya wasichana wanaomaliza kidato cha sita wanakuwa na bikira. Unasemaje hakuna bikira.

Maadili ni kujua wakati sahihi wa kufanya mambo kwa usahihi na uadilifu.

Vijana mliopo chuo kikuu au mnaoingia chuo kikuu. Huo sio muda wenu wakusoma tuu. Ni muda pia wakujenga mahusiano yenu. Wakati mkiwa hana shinikizo kubwa.

Maisha sio bahati kwa asilimia 75% hizo 25% zilizobaki ndio zinaweza kuwa bahati.

Muwe waadilifu. Uadilifu ni pamoja na kujua muda sahihi wa kutafuta mwenza wako. Kujua wakati na watu sahihi.

Yaani elimu ya uongo hii. Kwamba binti aliyemaliza kidato cha nne kwamba ni mdogo?
Binti wa umri huo anahaki za kusema anataka kuolewa. Haki zote.

Kibaolojia binti anaweza kuolewa miaka miwili baada ya kuona siku zake. Zamani Bibi zetu waliolewa mpaka na miaka kumi na tatu, kumi na nne huko.

Unasema watoto wasome. Wakimaliza ajira huna uwezo wa kuwapa. Hawana ajira hawana waume. Ni uhuni huo. Wanaanza kutangatanga huku na huko. Wameshakuwa wazee. Sokoni wanaondolewa na waliochini yao.

Kazi hakuna. Wanaume wakuoa hawataki kuwaoa wanaoa wadogo zao. Wanaishia kutukanwa kama kwamba wao ndio wanamakosa. Wakati ni mfumo mbovu.

Serikali na wazazi, elimu ya mahusiano ni muhimu sana.
Mtoto akishafika miaka 15 awe na ruhusa ya kumtambulisha mchumba wake. Wasifanye mambo ya kificho ficho. Huwezi pingana na nature.

Hao wanaojifanya wanaolewa wakiwa wamesoma. Baadhi yao mimba zimetolewa kama zote. Wengine ni single mothers wanatanga tanga. Hilo kama jamii hamlioni ni tatizo?

Sisi Watibeli, Binti zetu wanaambiwa ukweli mapema. Wanafundishwa kufanya uchaguzi sahihi kwa wakati sahihi.
Binti wa Tibeli wa miaka 15 anaruhusa ya kuja kumtambulisha rafiki yake wakiume.

Tayari binti anamalengo. Mwanaume au rafiki wa kiume au wakike sio bidhaa ya magendo.

Kama ni mwanaume mkubwa anamtaka binti yangu. Anakuja nyumbani. Ananiambia mzee Taikon, nimempenda binti yako. Binti kama anandoto za kusoma kijana anaambiwa itabidi wasubiri mpaka Amalie shule. Lakini kama anataka kuoa kabisa basi anaozeshwa kwa sharti atakuwa mke wake lakini shule binti a alive.

Kuliko hizi habari za kutoatoa mimba. Kuzaa zaa hovyo na kuzalishwa hovyohovyo.

Binti anashindwa kushirikisha wazazi wake kutokana na mila potofu za kijingajinga.
Oooh! Usijihusishe na wanaume bado unasoma. Hivi mtoto wa miaka mitatu atajihusisha na wanaume?

Binti za Tibeli wanahaki na wapo huru kushirikisha wazazi wao katika makuzi yao ya kimwili, kihisia, kiakili na kiroho.

Mzazi na mtoto wanaposhirikiana kwa uwazi. Athari kwa mtoto huwa ndogo.

Haya mtoto anamaliza shule. Elimu ya mahusiano hana. Pamoja na kuvumilia miaka yote. Mwisho wa siku anakuja kuzalishwa na kutelekezwa kama yule ambaye angeweza kuolewa miaka hiyo akiwa binti chini ya miaka 20.

Ninajua mabinti wengi. Wamemaliza chuo. Wengine form four. Wengine kidato cha sita. Hawana la maana zaidi ya kuishi kwenye udanganyifu. Kazi hawana. Waume hawana. Wameachiwa mzigo wa kulea watoto wenyewe. Bado jamii inawalaumu. Yaani uonevu mtupu.
Inafikia hatua binti anamkumbuka mwanaume wake wa zamani aliyekuwa anampenda kwa moyo wote.

Namaliza kwa kusema; maadili ni kujua usahihi wa mambo na wakati.

Nimemaliza

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mtibeli, hii iweke kama Uzi wako Bro. Nataka Ni Subscribe

Umemaliza kila Kitu .....✍️
 
mtoto anakesha kwenye kigoma mpaka asubuhi akirudi nyumbani mzazi hamwambii chochote
Miaka fulani nlikuwa na mradi wangu mmj hapo mwarusembe dah,kila nkitafuta wafanyakazi naambiwa wako ngomani
Nlijipanga nlikuja kuwaleta team toka usukumani ahh
Waliwafundisha kazi
Maana mara leo kuna kibeseni, sjui mtoto anatoka,ngoma kwa flani
😄
Bado hujaenda kisarawe
Balaa
Ukienda kusini sasa umakondeni ukutane na mambo ya unyago ahh lkn ndy culture hiyo

Ova
 
Miaka fulani nlikuwa na mradi wangu mmj hapo mwarusembe dah,kila nkitafuta wafanyakazi naambiwa wako ngomani
Nlijipanga nlikuja kuwaleta team toka usukumani ahh
Waliwafundisha kazi
Maana mara leo kuna kibeseni, sjui mtoto anatoka,ngoma kwa flani
😄
Bado hujaenda kisarawe
Balaa
Ukienda kusini sasa umakondeni ukutane na mambo ya unyago ahh lkn ndy culture hiyo

Ova
woi culture gan hiyo ya kuendekeza uvivu
kazi kidogo waanataka malipo makubwa
na akifanya kazi ukamlipa leo kesho humuoni mpaka ile uliyomlipa iishe ndio atarudi kuendelea na kibarua
 
Sina haja ya kujua dini yako.
Nimekujibu kutokana na chuki zako dhid ya dini yetu ya uislam.
Tanzania dini kuu ni mbili.kama sio muislam basi mkristo
Na kama Hauna dini ni juu yako
Mkorofi asiyejua kujishikia
 
Niliwahi kufanya kazi na NGO moja maeneo ya Pwani na tukawa tunashangaa inakuwaje eate ya mimba za utotoni sio kubwa Pwani, kutafiti tukagundua ni jamii ambayo watoto wanakuwa introduced kwa vizuia mimba mapema sana na chankushangaza wengine hushauriana kutumia njia ile nyingine ili wasipate mimba🙆‍♂️ hivyo sio rahisi kushika mimba mapema.

Japo malezi ni janga la kitaifa lakini hizi jamii za Pwani ni jamii ambazo tangu enzi wamekuwa wakipwaya katika malezi sana na inachochewa na tamaduni zao. Na sidhani kama dini ya kiislamu inahusika.
 
Tushawazoea hawa. Shida yao ni Uislam na Waislam. Inasikitisha sana Muislam akilegeza msimamo katika Dini yake ili kuwafurahisha hawa na kutaka ku fit in na kufuata matamanio yao. Hajui kuwa hawa shida yao kubwa kabisa ni yeye kuwa Muislam. Na wanachukia yeye akiwa Muislam hata kama watafurahi kidogo kwa yeye kulegea katika Dini ila bado watamchukia na hawatoridhika mpaka wamtoe katika Uislam kabisa.

Hivyo hata kama Muislam ni dhaifu katika Dini yake na anazembea katika baadhi ya maamrisho na kuyafanya baadhi ya makatazo, bado hawako radhi naye mpaka afuate mila yao.

Ndio maana Muislam akisimama sawa katika Dini yake watamchukia na hata akistruggle au akawa kuna maasi atayafanya baadhi yao watatumia hiyo image kuutukana Uislam na Waislam, kwa sababu chuki yao hasa ni kwa Uislam na Waislam, wanamchukia mno bado.

Hivyo Waislam, tukae chini, tusome Dini yetu, tuifuate na tushikamane nayo barabara, tumche Mola wetu Mlezi, tumuabudu Allah Peke yake Bila ya kumshirikisha na chochote kile na tuwe na Subra katika kumuabudu na tuwe na msimamo, tuepuke shirki, tufuate Sunnah na kuepuka uzushi katika Dini na tujitahidi kufuata Maamrisho ya Allah na Mtume wake na tujitahidi kuacha Makatazo yao na tutubie kwa Allah pale tunapoteleza.

Tuishike Dini yetu na wala tusiogope lawama za wenye kulaumu, na wala tusifuate matamanio, bali tumtii Allah na Mtume wake.

Kuwa proud na Neema hii ya Uislam na wala usiwe mnyonge, usijali maneno ya watu ambao hawatokusaidia lolote lile, hawakupi Rizq, ni Allah Pekee Ndie Anatoa Rizq, wala hawakupi uhai wala pumzi, ni Allah Pekee Ndiye kakuumba na Ndiye Anayekulea na Kukuruzuku na Kukupa Uhai na Pumzi, na Akhera hao watu hawatokusaidia chochote kile. Usijali maneno yao ya kejeli wala kuvunja moyo, Uislam ndio Rasilimali yetu kubwa. Uislam ni NEEMA KUBWA kuliko zote alizokupa Allah, hivyo mshukuru Allah kwa wewe kuwa Muislam.

Ninamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.

Wallahi ninawapenda mno Ndugu zangu Waislam kwa ajili ya Allah.

Ninamuomba Allah kwa Majina yake Matukufu Atusamehe Waislam madhambi yetu na Atuongoze na Atuhifadhi na Atutibu Maradhi yetu na Atusaidie katika kumtii Yeye na Atusaidie kuepuka Makatazo yake na Atusaidie katika Jihaad tunayopigana na nafsi zetu (ni struggle kubwa mno) na Atupe Mwisho Mwema, Atufishe katika Uislam, Atufishe katika Tawheed na Sunnah, Allahumma Aamiin.
Ni laana kuwa muislam,ni vile mko brain washed beyond repair.
 
Pwani jamii haiwabani wanajionyesha.

Bara jamii ina wabana hawajionyeshi ila wamo sana.
Kabisa na ndio tofauti iliyopo. Ukiingia bara kwenye baadhi ya vijiji, kwenye sehemu za wazi huwezi jua micharuko ni kina nani kirahisi hadi wenyeji wakuambie maana wasichana karibia wote wakiwa mbele za watu, kuna aibu na staha flani wanakuwa nayo.

Pwani hawajifichi sana na ile tabia ya kuongea sana inawafanya wajiamini zaidi
 
Single parenting ni janga, tunajitoa akili tu lakini kukea mtoto mwenyewe ni janga kwa asilimia kubwa sana.

Kujali elimu ya dini kuliko elimu ya kidunia pia ni janga, mtoto aende shule kuondoa ujinga, mtoto asimamiwe kuanzia shuleni hadi nyumbani.

Ndoa za utotoni ni janga, bjnti miaka 15-18 analea ndoa badala ya kusoma(hata kama sheria zinaruhusu).

Wazazi kuwa busy kusaka pesa, janga lingine na bomb kubwa.
Hakika mkuu, umeiweka vizuri sana
 
Back
Top Bottom