Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Hao ni watoto, tena kungetakiwa kuwe na sheria kabisa ya kuzuia watoto chini ya miaka 18 kutumia mitandao ya kijamii kama vile Uingereza, Australia, China, Brazil, Ugiriki na nchi nyingine.
Ww hoja yako ni unawatetea mashoga kwa sababu ushoga wao hauna athari yeyote kwa mtu mwingine sasa ww unatharika nini na hao mabinti kuiba mabwana za watu?
 
Kwani wao kuolewa Kuna wazuia kuwa viongozi wa chama na serikali?
Ya kwamba ukitaka kuwa kiongozi wa chama au serikali ni usiolewe ndo kigezo?

Hawa elimu ya mkoloni ilishawaharibu vibaya sana.

Muulize yeye si mwanademokrasia.
Na anaamini katika uhuru.
Binti wa miaka 16 -20 anataka kuolewa. Kwa hiyari yake. Kwa nini amzuie wakati mwanaume anasifa ya kuwa mumewe?

Muulize hapo uone wasomi wenu
 
Sasa nani amekwambia talaka ni kosa kutoa?
tumia akili yako vizuri.
Talaka ipo hata kwenye ukristo sema haumjui dini yenu
We tahira wa kiimani

Kwenye mahusiano hakutarajiwi ukamilifu

Ila ukihusisha imani tena inayijikuta sahihi ndio ninachojaribu kunena

Unaposema mtu akisema nimekuacha taraka 3 bila baraza la wazee kwa umri huo wa ndoa jua nyie ni Mazoba

Mmeshika sheria kama mafarisayo na masudukayo lakini rehema kwenye nyoyo hamna
 
Unazungumzia uislamu wa kutoa talaka ya maneno kwa ndoa ya miaka 15.!?

Uislamu ni utahila wenye heshima
Elimika.punguza chuki
 

Attachments

  • Screenshot_20261025-112021.jpg
    Screenshot_20261025-112021.jpg
    45.8 KB · Views: 4
kiufupi

Mkuu

Nimezunguka mikoa yote Tanzania tabia za wabantu zinafanana kwa kiasi kikubwa.

Nilichotambua kuna watu hawana furaha ya maisha kwaio JF ndio pakutua mzigo.

Mimi nilikua natumia fake ID but nikajitathmini kua sina ugomvi na mtu kwaio natumia jina langu halisi kwa sasa.

Pia kama mtu anajiamni akaposti kusema kabila au dini au atumie ID kama paschal mayala na wengineo.

Mimi si bora kuliko wanadamu wenzangu.
Kabisa mkuu!
 
Kwani hakuna vijana waliooa wakiwa na miaka 18 - 20?
Wapo au hawapo haifanyi kuwa sawa kuhubiri hili.
Kwa nini useme tunawasukuma wakati wao wametaka kwa hiyari yao?

Hakuna force marriage hapo. Ni wao wenyewe.
Haujui impact ya advocacy?
Force marriage ni ile binti anataka kuolewa sasa hivi anamiaka 19 ninyi mnamlazimisha aolewe akimaliza chuo. Ujinga mtupu. Dhulma
Hatulazimishi, Tuna encourage tena for better.. Unahisi tuna nia mbaya kuliko nyie?
 
Kumbuka Dar es Salaam ni kama jalala linakusanya watu wajamii hata zisizo za pwani..
Hivi umefika Arusha? Nadhani ungeandika kwa herufi kubwa..
Suala la malezi mabavu sio pwani tu Nchi nzima kwa sasa ni uozo
 
Wapo au hawapo haifanyi kuwa sawa kuhubiri hili.

Haujui impact ya advocacy?

Hatulazimishi, Tuna encourage tena for better.. Unahisi tuna nia mbaya kuliko nyie?

Kwa uelewa wako binti wa miaka 18 ni mdogo?
Au wewe ulivyokuwa na miaka 18 ulikuwa mdogo?

Ukizoea kuambiwa chakufanya au mpaka usome sehemu walichofikiria wengine siku zote utakuwa mdogo tuu haijalishi utafikisha miaka mingapi.

Binti wa miaka 17-20 ni mwanamke anayetosha kabisa kuwa na familia na kuongoza nchi ikaenda vizuri tuu.
 
Kwa uelewa wako binti wa miaka 18 ni mdogo?
Au wewe ulivyokuwa na miaka 18 ulikuwa mdogo?
Mpaka miaka 30 nilikuwa bado mdogo vingi tu nilikuwa sivielewi, Leave alone 18 nilipokuwa bado nacheza madange, Unataka kusemaje?
Ukizoea kuambiwa chakufanya au mpaka usome sehemu walichofikiria wengine siku zote utakuwa mdogo tuu haijalishi utafikisha miaka mingapi.
Which is not bad.
Binti wa miaka 17-20 ni mwanamke anayetosha kabisa kuwa na familia na kuongoza nchi ikaenda vizuri tuu.
Tufanye vya faida, tuwape nchi waongoze.
 
Back
Top Bottom