Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Sasa nitamchukuaje aliya kuwa nilipo taka kumchukua mama yake anakimbilia usitawi wa jamii na usitawi wa jamii unamkingia kifua?
Pole sana mkuu vumilia afikishe miaka 7-9 mchukue mwanao haujachelewa sana!
 
We mla keki ya bethidei sikunangi

Alipo mwanaume hakuna huu ufala

Mtoto wa kike kwa mwanaume ni mfano wa mama yake mzazi akiwa katoto kadogo Lazima amlinde

Ukiona huu Uchoko jua hakuna chromosome Y kwa house

Sio kweli!
Kwani hao watoto hawana Baba zao?

Kama wanao kwa nini hawakuwalea?
Ni kwamba wanaume walikimbia.

Ukienda mahakamani kudai mtoto wako serikali inakupatia.
Hiyo ya kusema wanawake wanang'ang'ania watoto ni visingizio tuu vya sisi wanaume.
 
Huyu dogo mama yake ni rafiki yangu.

Na analalamika sana kwa uzwazwa wa baba yake na dogo.

Asa dogo hua anakujaga tu kubadilishana mawazo na mimi mama yake angejua angemrudisha kwa baba yake.
Baba yake atamlinda asimpe binti mimba?
 
Pili, tunajua kwenu mahari inamaana ipi. Ndio maana tangu mwanzo sisi Watibeli hatutoi wala hatukubali binti zetu kutolewa mahari.
Hutatoa chochote unapochukua binti yetu. Zaidi ya makubaliano yenu ya mapenzi.
Ili siku mkiachana kila mmoja asiwe na deni na mwenzake. Na zile mbwembwe na kusema nilikutolea mahari.

Mahari sio kununua.
Ni heshima.

hata wazungu hawatoleanagi mahari. Lakin likija suala la kutengana unaona jinsi shughuli inavyokuwa pevu.
Kwahiyo ishu sio Mahari.

Mahari sioni kama ni kumnunua mwanamke. Bali ni heshima ambayo familia ya mwanaume inaenda kutoa kwa familia ya mwanamke.

Nimekutolea mifano hapo.
ifikirie mara 2 mbili.
pia na huu , mfano sasa umeoa. Na mke wako amefariki. Atakaeulizwa tumzike mwanamke wapi ni nani?.
Mume au mzaz wa mwanamke?

Bila shaka Ataulizwa kwanza Mume na upande wa Mwanaume.
Sasa hii heshima ambayo mwanaume anapewa na familia ya mwanamke its not a joke.
You must earned it

Na namna ya kuipata ni kuonyesha nia ya dhati kwa kwenda kuomba kwa wazazi wa mwanamke ridhaa ya kukaa na binti yao.
Na sio kumnunua.
 
Tatizo kwa sasa hatuna maadili ya kitaifa,kila jamii ina mambo yake wanayoamini na kuyaendeleza kwa sababu taasisi za malezi zimeaidiwa na utandawazi.
 
Wanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.

Mtawalaamu sana hawa watoto na mtawalaumu sana wazazi lakini nawakumbusha jambo moja kuwa serikali ndio inapaswa kutengeneza mfumo wa elimu unaomsaidia mtoto na mzazi.Hao watu hawajui lolote kuhusu kesho yao wanachojua ni kumaliza shule wajiunge ama na wenzao wanaozurura au kuanza uzururaji kama ilivyokuwa zamani sherehe za kumaliza darasa la saba ilikuwa kawaida wanafunzi kung'oa madirisha,kupiga mawe vioo vya shule au kuharibu chochote kwa kuwa wanafunzi tuliona shule kama Jela na sio sehemu muhimu kwetu.Kama shule ingekuwa tayari imetengeneza dira yangeepukwa mengi watoto wangeona hatua mpya kwao.Imagine leo mtoto anamaliza secondary bado hajua atajikita kwenye lipi.Hata wanaokuwa wamepata malezi bado wanakuwa sio dira kwa wengine kwa kuwa nao wanaendelea kubahatisha bahatisha na gao mabinti ikifika 2030 watavishwa tisheti na kuimba nyimbo za siasi kesho yao watajijua wenyewe.Serikali badala kuongeza technical schools,vyuo vya ufundi,centre of excellence,sports centre inahangaika kuongeza vyuo vikuu tu
 
Sio kweli!
Kwani hao watoto hawana Baba zao?

Kama wanao kwa nini hawakuwalea?
Ni kwamba wanaume walikimbia.

Ukienda mahakamani kudai mtoto wako serikali inakupatia.
Hiyo ya kusema wanawake wanang'ang'ania watoto ni visingizio tuu vya sisi wanaume.
Bahati mbaya we sio kati yetu

Wahenga walisemaga mtoto akililia wembe mwachie umle ndio kanuni yetu kwa super wuman
 
Mahari sio kununua.
Ni heshima.

hata wazungu hawatoleanagi mahari. Lakin likija suala la kutengana unaona jinsi shughuli inavyokuwa pevu.
Kwahiyo ishu sio Mahari.

Mahari sioni kama ni kumnunua mwanamke. Bali ni heshima ambayo familia ya mwanaume inaenda kutoa kwa familia ya mwanamke.

Nimekutolea mifano hapo.
ifikirie mara 2 mbili.
pia na huu , mfano sasa umeoa. Na mke wako amefariki. Atakaeulizwa tumzike mwanamke wapi ni nani?.
Mume au mzaz wa mwanamke?

Ataulizwa Mwanaume.
Sasa hii heshima ambayo mwanaume anapewa na familia ya mwanamke its not a joke.
You must earned it

Na namna ya kuipata ni kuonyesha nia ya dhati kwa kwenda kuomba kwa wazazi wa mwanamke ridhaa ya kukaa na binti yao.
Na sio kumnunua.

Mahari ni kununua mwanamke.
Ninyi ndio mnafuata mila msizozijua.

Ulizia chimbuko la mahari utaambiwa.

Ni kama usikie, nauli, ada, n.k.
Ukinunua mwanamke awe mkeo inaitwa Mahari. Ni lugha tuu.

Wewe mbona hutolewi mahari kama ni heshima?
 
Baba yake atamlinda asimpe binti mimba?
Hapana

Yani point ni kwamba mama yake anapambana lenyewe Linawaza kupata mtoto.

Bora alipeleke kwa baba yake maana akizalisha mtu lazima mama yake dunia itampa mzigo kua yeye ni vyanzo.
 
Ulipouweka uislamu tu nikaanza kuihisi harufu ya damu.

Either ways, jamii za pwani zina malezi tofauti na hii sio issue ya leo ni miaka mingi. Mtoto anaekulia pwani anapata exposure kubwa ya sex kuliko sehemu nyingine ambazo sex ni taboo kubwa haswa kwa mtoto wa kike (angalia ngoma zao, umri average wa kuolewa, ndoa zao, etc)

Bara pia kuna baadhi ya mikoa ina balaa zito mfano Ruvuma kwa wangoni, mikoa ya Singida, hadi Arusha na Manyara kwa wambulu. Japo micharuko ya bara haijiachii sana kwa sababu ya mifumo ya jamii zao tofauti na pwani

Japo kiujumla, kimalezi changamoto ipo nchi nzima ila kuna sehemu tu imekithiri
Aisee
mfano Ruvuma kwa wangoni,
ephen_ ni ya kweli haya?
 
Watoto wadogo sana wale wanakua! Mnatumia manguvu meeeengi kujudge watoto wa miaka 16 teenagers? Nyie mlivyokua umri wao mlifanya mangapi? Na kwanza wameongea tu, wazee mmekosa pozi na akili ya kujua ni watoto tu wale wakikua wataacha! Acheni hizo, hamjazaa?
 
Kingine pia wanaweza kuolewa vizuri tuu.
 
Back
Top Bottom