Huyu dogo mama yake ni rafiki yangu.Hapishana na members kibao humu huyo rafkiako! Siku zote jambo ni rahisi kwa kulifikiria tu ila kulitenda ndio kutakupa experience na utajua mambo yanaendaje! Wengi humu kuongea kwa sana ila hali halisi hawaijui wanapitia kwenye story za vijiweni na comments wanaishi hapo!
HapaHao ni watoto, tena kungetakiwa kuwe na sheria kabisa ya kuzuia watoto chini ya miaka 18 kutumia mitandao ya kijamii kama vile Uingereza, Australia, China, Brazil, Ugiriki na nchi nyingine.
Kama umefika chuo kikuu. Angalia waliolewa ni wangapi na ambao hawajaolewa ni wangapi?
Mimi ninamiaka 10 tangu nimemaliza chuo kikuu. Nusu ya wanawake ambao wamemaliza chuo pamoja na mimi hawajaolewa. Na wamekata tamaa.
Nusu iliyobakia ndio wapo walioolewa kwa harusi na baadhi yao wanaishi sogea tukae.
Tembea uone mkuu.watu wa pwani waachiwe ngoma tuu . ama huoni hata wanavyoongoza nchi
Anakunywa bata😅
Mm nimemaliza Chuo 2011.
So miaka 15 sasa.
Kuolewa/kuoa ni majaliwa.
Hata hao ambao wameishia chini. Wapo ambao hawajaolewa.
Kwahiyo kutokufika chuo au kufika haikupi/kuondoa uhakika wa kuoa/kuolewa.
Anyway hii sio Hoja.
Hoja ilikuwa, je ?. mtoto wako wa miaka 15, mwanaume akaja kumtolea posa utakubali?.
Uzur umelishajibu. Na mm nikakuambia sikubaliani na ww.
Na hoja zangu nimetoa.
So lets agree to disagree.
Bwashee umepata mwako nini?Umejuaje ni waislamu?
😊Bwashee umepata mwako nini?
Naona avatar yako nimepata changes kidogo
Nipe siri ya mafanikio bwashee
We mla keki ya bethidei sikunangiKosa siku zote ni la mwanaume. Ila lawama ni kwa mama. Hilo ujue
Hapo keupe kalikua kanafanya kaziAnakunywa bata😅
Ni miaka 14 mkuu sio 16Sheria inasema binti anaweza kuolewa hata akiwa na miaka 16 kwa ruhusa ya wazaz wake.
Kuhusu uanafunzi hilo ni jambo jingine.
Pia, kuwa na binti wa miaka 16 ukimuandaa kuwa mkeo sio kosa. Ilimradi ufuate itifaki.
Hao watoto wa kike sina, hii ni mada tunajadili kulingana na majibu yako! Najivunia malezi niliyopewa sina mzaha wa kulea pia, na sijui hao unaowasemea ww wanalellewaje mapaka wanakuw ahivyo ndiomaana nakupa mtazamo nilio uishi hiyo nadharia unajua mwenyewe unaichambuaje mpaka unaipata!Shida yako unaongea nadharia. Unaongea script ambazo mnazitumia kuwapotosha hao watoto wenu wa kike.
Kama hutaki kuelewa siwezi kukulazimisha, zipo sababu nyingi sana za baba kupewa mtoto! Every rule has an exception! Unakomalia nadharia wakati hata hujui ustawi wa jamii unafanyaje kazi! Umeshagundua mkeo anajiuza ukipeleka hiyo kama sababu na ushahidi utapewa mwanao! Hiyo sheria iliwekwa kwa sababu nyingi! Wanaume wengi wanyanyasaji pia na visirani! Akiachana na mkewe anachukua mtoto hata anayenyonya ilihali hawezi kumpa hata hilo ziwa! Hata kufikiri anayeumia ni mtoto yeye ilimradi kamkomesha mwanamke wake! Kwahiyo hii sheria haijawekwa kwa sababu ya wanawake wenye tabia mbaya tu imewekwa kwa watu wote jaribu kufikiria vzr!Jamii, na Sheria za nchi zinampendelea mwanamke linapokuja suala la mtoto hadi mtoto afikishe miaka 7 ndo baba anaweza akapewa nafasi ya kukaa nae. Kwa hiyo hiyo kauli za kwamba wanaume kukomboa watoto ni nadharia zako tu.
Ndio ukae ukijua wapo wema pia avoid hast generalizations, kama kukutana na watu wa ajabu wote tunakutana nao na sio lazima tufunguke hapa! Sio wanawake sio wanaume wote walewale tu!Wazazi wengine wanakatalia watoto ili wawatumie kujipatia hela kutoka kwa wanaume wapuuzi kwa kusingizia wametelekezwa. Wengine wanasingizia mimba wanaume, mimba ya mwanaume mwingine inalelewa na mwanamme mwingine. Pamoja na shida za wanaume lakini single mothers wengi wanadeserve kuwa huwa hivyo.
Utaongea maneno mengi kuwatetea ila ukweli upo wazi na tunayaona na yanatutokea. Wengine hatutaki kuweka mambo yetu hadharani.
😂😂😂😂vazi la kijora linaendelea kudhihirisha ni alama ya umaskini na ujinga wa watu wa pwani.
Ni miaka 14 mkuu sio 16