Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Hapana

Yani point ni kwamba mama yake anapambana lenyewe Linawaza kupata mtoto.

Bora alipeleke kwa baba yake maana akizalisha mtu lazima mama yake dunia itampa mzigo kua yeye ni vyanzo.
Na sijui kwanini vijana wakiwazalisha mabinti mama zao wanawajali na kugharamia

Lakini binti akizalishwa anaambiwa aende kwa jamaa au atafute pa kwenda🤦🏽‍♀️
 
Hao watoto wa kike sina, hii ni mada tunajadili kulingana na majibu yako! Najivunia malezi niliyopewa sina mzaha wa kulea pia, na sijui hao unaowasemea ww wanalellewaje mapaka wanakuw ahivyo ndiomaana nakupa mtazamo nilio uishi hiyo nadharia unajua mwenyewe unaichambuaje mpaka unaipata!

Kama hutaki kuelewa siwezi kukulazimisha, zipo sababu nyingi sana za baba kupewa mtoto! Every rule has an exception! Unakomalia nadharia wakati hata hujui ustawi wa jamii unafanyaje kazi! Umeshagundua mkeo anajiuza ukipeleka hiyo kama sababu na ushahidi utapewa mwanao! Hiyo sheria iliwekwa kwa sababu nyingi! Wanaume wengi wanyanyasaji pia na visirani! Akiachana na mkewe anachukua mtoto hata anayenyonya ilihali hawezi kumpa hata hilo ziwa! Hata kufikiri anayeumia ni mtoto yeye ilimradi kamkomesha mwanamke wake! Kwahiyo hii sheria haijawekwa kwa sababu ya wanawake wenye tabia mbaya tu imewekwa kwa watu wote jaribu kufikiria vzr!

Ndio ukae ukijua wapo wema pia avoid hast generalizations, kama kukutana na watu wa ajabu wote tunakutana nao na sio lazima tufunguke hapa! Sio wanawake sio wanaume wote walewale tu!
Narudia kusema unaongea nadharia sana kuliko uhalisia. Ustawi wa jamii wamejaa wanawake ambao mawazo yao ni ya kifeminist, walishakaririshwa wanawake wanateswa kwa hiyo wapo pale kutetea haki za wanawake na siyo ustawi wa familia na watoto. Hizi nchi maskini hakuna ustawi wala maendeleo ila muunganiko wa feminists kwa ajili ya haki za wanawake ndo maana wanaume wengi wanaamua kukaa pembeni.

Hiyo sheria ilitingwa kwa context ya ki feminist na waliassume wanaume hawana uwezo wa kulea mtoto mdogo anayenyonya. Hiyo imewapa fursa wanawake kuitumia vibaya kwa kushirikiana na hao maafisa ustawi wa jamii ambao asilimia kubwa ni wanawake Kwani hatuoni wanawake wanaowaachisha watoto wao kabla ya umri?

Yaani nguvu unazozitumia kuwatetea single mothers, ungezitumia kuwashauri waache ujinga
 
Sawa umeeleweka mkuu!
 
Ulienda mahakamani ukanyimwa mtoto?

Hao wanaolelewa bila Baba, Baba zao wakuwapi? Walikufa?
Acha mambo yako usizungumzie hila za wamatumbi kama upo new Jersey

Hawa kenge wametoka kwenye familia masikini ni waviziaji kuliko wale wezi wa roba ya mbao Tandale
 
Sio tu wanafaa kuwa wake/kuolewa, Wanafaa pia kuwa viongozi wa chama na serikali si wameshakua? Tuwapambania waingie kwenye uongozi wataleta mabadiliko makubwa sana.

🤡🤡
 
Hamna mke pale hata kuosha njugu zao hawajajua wataweza mikia ya wanaume wapi wale? Bado wananuka mikojo tu

Unataka nani akufundishie kuosha njugu zao?

Binti afundishwe na mtu mwingine aje akuheshimu wewe uliyemkuta mjuvi wa mambo?
 
Si ndo furaha yenu.Mnataka utandawazi uislam na sharia zake hamuutaki.mnalaumu nini?
 
Kwani unaoa kwa tamaa?
Hivi mnajua kinachozungumziwa hapa?

Hamna maadili wazee wazima mnawaza mapaja ya kuku na tamaa zenu za gongo

Waacheni watoto wacheze mjadili mambo ya maana sio kusakama vifaranga viteneegers hapa na mnajiita eti great thinkers labda sinkers sasa
 
Back
Top Bottom