MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mwandae binti yako kumuoza akimaliza form 4.
Wacha kuwasemea usiowajua, hao watoto sio wabichi kama unavyotaka kutuaminisha.
Ukiona mtoto wa kike ameishiwa aibu ujue huyo amegraduate michezo michafu sliyokuwa akiifanya akiwa shuleni.
Mkoa wa pwani ni hasara sana mkuu, siyo watoto wa kike tu, hata watoto wa kiume 65% migongo yao haina security kabisa 🤒🤒Wanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
Uongo mkubwa sana. Hizo namba umezitoa wapiMkoa wa pwani ni hasara sana mkuu, siyo watoto wa kike tu, hata watoto wa kiume 65% migongo yao haina security kabisa 🤒🤒
Nazungumzia wanafunzi , kama ulivyogusia tukio la hao wanafunzi ambao wamefanya mitihani na bado matokeo hayajatoka, je ni sawa ?Sheria inasema binti anaweza kuolewa hata akiwa na miaka 16 kwa ruhusa ya wazaz wake.
Kuhusu uanafunzi hilo ni jambo jingine.
Pia, kuwa na binti wa miaka 16 ukimuandaa kuwa mkeo sio kosa. Ilimradi ufuate itifaki.
Yeah hapa ni sawa , hivyo jamii ina haki ya kupigia kelele kuhusu hao watoto wahitimu tuMwanafunz wa Sekondary ni kosa la jinai kumuoa.
hapo bado ni mwanafunzi.
Matokeo yakitoka na akashindwa kuendelea . Na akiwa 18+ basi ni ruksa kuolewa.
Kwanza vikifika darasa la sita au darasa la saba, huwa wanapelekwa maporini huko kufunzwa namna ya ku*to*mb*a*na.Ulipouweka uislamu tu nikaanza kuihisi harufu ya damu.
Either ways, jamii za pwani zina malezi tofauti na hii sio issue ya leo ni miaka mingi. Mtoto anaekulia pwani anapata exposure kubwa ya sex kuliko sehemu nyingine ambazo sex ni taboo kubwa haswa kwa mtoto wa kike (angalia ngoma zao, umri average wa kuolewa, ndoa zao, etc)
Bara pia kuna baadhi ya mikoa ina balaa zito mfano Ruvuma kwa wangoni, mikoa ya Singida, hadi Arusha na Manyara kwa wambulu. Japo micharuko ya bara haijiachii sana kwa sababu ya mifumo ya jamii zao tofauti na pwani
Japo kiujumla, kimalezi changamoto ipo nchi nzima ila kuna sehemu tu imekithiri
Wewe ili umuoe mwanamke inakuchukua muda gani ili awe mkeo? Maana inaweza kuwa hatuelewani
kupata mimba na kuolewa ni vitu viwili tofauti.
Pia haujanijibu.
Ngoja niliweke hivi kuwa.
Je? Ww mwanao nikija kumtolea posa akiwa amemaliza form four au akiwa na miaka 15 unanikubalia?.
Mm nadhan tumekulia mazingira tofauti.
Ndio maana tunakinzana.
Tuwape watoto wa kike haki ya kusoma.
Hizi zama sio zile za mabibi zetu.
Hatuoi ili mwanamke aende kuwa kijakazi.
Ni zaid ya hilo.
Tunasngalia kwa idadi kwa sasa wazazi wengi wana malezi ya hovyo sana.Ukianza kuchagua wazazi wabaya kurepresent wazazi wote hata zamani walikuwepo tena wengi tu. Sawa na uanze kuchagua wazazi waliokuwa wanakeketa mabinti zao, waliokuwa wanaozesha mabinti zao katika umri mdogo nk kurepresent wazazi wote wa zamani
Unatakiwa uelewe hilo, huwezi ukachagua mifano mibaya kurepresent kundi zima la watu, na mwisho wa siku utakuja kugundua hao wazazi wabaya unaowasemea ni minority
Bwashee jitaarishe nikuite bamkwe tuSheria inasema vipi , binti akiwa kamaliza kidato cha nne hata kama ana 18 , na bado hajapata matokeo yake ya mitihani ya mwisho aliyo fanya?
Kanaenda somea utawa, pole😅Bwashee jitaarishe nikuite bamkwe tu
Binti yangu wa miaka 15 anatosha kabisa kukabiliana na wanaume. Kwa sababu atakuwa amefundishwa vyema.
Kama yeye atakubali umuoe mimi siwezi kumzuia. Posa(ujio wako) nitaukubali kwa ridhaa ya binti yangu.
Ila kutakuwa na masharti fulani ya kuhakikisha ndoto zake hasa ya kujitegemea zinakaa sawa.
Ohoooo huko utawani ww unakuamini bwashee? Bora aje kwangu ulee wajukuu wa ndoa halaliKanaenda somea utawa, pole😅
Nazungumzia wanafunzi , kama ulivyogusia tukio la hao wanafunzi ambao wamefanya mitihani na bado matokeo hayajatoka, je ni sawa ?
Na ndio maana tuko tofauti.
Nikishamuoa ni wangu.
Ww hauusiki na mustakabali wa mke wangu. Hata akifa atazikwa kwangu/kwetu.
Kiufupi mm ndio nitakuwa nina maamuzi ya mwisho juu yake.
Yaani mkuuHii nchi ni kama kila mtu amerugwa sasa na GenZ ndio wamevurugwa zaidi.
Naona wewe utakuwa unaishi ulimwengu wako, hizo aibu za mwanaume unazionea wapi na wakati gani?!Watoto wakike hawanaga aibu.
Mwanaume ndiye anaibu. Hili hujajifunza?
Hizo unazoziita aibu kwa mwanamke ni manipulation tricks za wanawake.