Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Pwani na Dar ni mkusanyiko wa jamii zote za watanzania

Mabaamedi ambao ni kivuli cha ukahaba wanatokea nje ya Dar na Pwani, hususani Singida, Dodoma na mikoa ya kanda ya ziwa na Arusha na Moshi, kwa majina wanajulikana kina Happy, Agnes, Mary nk

Mahausigeli mnaowabaka kimasihara majumbani kwenu na mnawapa mimba na ukimwi wanatokea nje ya Dar, hasa Iringa, Njombe na kwengineko

Dar kuna maeneo yanaitwa kwa “wahaya” ambao si wa Dar au Pwani

Bado una hoja?
Kweli kabisa.

Sisi wazaramo tunasingiziwa sana na hawa wageni.
 
Mtu "liberal" kama Yoda eti naye anawasakama Waislam katika mmomonyoko wa maadili!!

Actually watu wakishika Dini yao (Uislam) na wakaiishi itakuwa Dawa ya huu mmomonyoko wa maadili.

Ndio maana kuna juhudi kubwa ya kuisambaza Elimu Sahihi ya Dini ya Uislam, ili Waislam tuifahamu Dini yetu kwa Usahihi na tuache kuishi kimazoea na kupuuzia Dini.

Mmomonyoko wa maadili ni tatizo kubwa katika jamii zetu, lakini watu kama Yoda wanataka kukwepesha mjadala serious na unaotakiwa hasa katika kuuzungumzia huu mmomonyoko, anakimbilia kuleta Propaganda yake dhidi ya Uislam. Kuna watu (kama huyu "liberal" uchwara Yoda) wanageuza hizi kuwa "gotcha!" moments dhidi ya Waislam. Wakati haya ni matatizo yanayoitafuna jamii seriously.
Dini Ambayo inataka Infidels wauawe😃
 
Sasa unakuta kijana pombe na uhuni umemjaa kamtelekeza mtoto wa watu hampi hela ya matumizi na akirudi anataka ale huku ameweka sigara mdomoni.

Na hapa ndio Kuna shida.
Kwa sisi wanaume.

Mm nina amini hata kama una kipato kidogo..mkikaa pamoja na mke wako, mkaheshimiana. Mkajipanga na kulea familia na watoto kwa pamoja na kwa Ushirikiano. Na baraka zinafunguka.

Na kama basi umemzalisha mdada wa watu na huna malengo nae au mmeshindwana/kutengana basi hakikisha mwanao anapata malezi mazuri.

Tusiwaachie majukumu ya malezi wanawake pekeyao.
Mtoto ukimfuatilia kwa kila kitu anachofanya. Ananyooka.

Na huwez ona anabinua binua matako tiktok. Mtoto hata miaka 15 hana. Tayar anajua wanaume.
Dah 😣😣😣 ile video imenisikitisha sana.
Sasa wale si tayar Bodaboda wanajipigia.
 
Sio wamo ndo wengi maana mikoa inayo ongoza kwa mimba za utotoni ni mikoa ya bara na si pwani.
Hata hivyo janga la malezi ni janga la nchi nzima.
Mikoani hawapeani mimba za utotoni kwasababu ya umalaya ni kwasababu ya culture za wakulima na wafugaji.


Mikoa ya pwani ni umalaya


Vitoto vinatembea Hadi na mabwana wa mama zao

Nenda Mwananyamala kisiwani uone vituko
 
Mzazi anapaswa kuwajibika kwa kiwango kikubwa sana katika malezi ya mtoto wake. Ukiiachia serikali au waalimu, utalia.

Hali ni mbaya
 
Na hapa ndio Kuna shida.
Kwa sisi wanaume.

Mm nina amini hata kama una kipato kidogo..mkikaa pamoja na mke wako, mkaheshimiana. Mkajipanga na kulea familia na watoto kwa pamoja na kwa Ushirikiano. Na baraka zinafunguka.

Na kama basi umemzalisha mdada wa watu na huna malengo nae au mmeshindwana/kutengana basi hakikisha mwanao anapata malezi mazuri.

Tusiwaachie majukumu ya malezi wanawake pekeyao.
Mtoto ukimfuatilia kwa kila kitu anachofanya. Ananyooka.

Na huwez ona anabinua binua matako tiktok. Mtoto hata miaka 15 hana. Tayar anajua wanaume.
Dah 😣😣😣 ile video imenisikitisha sana.
Sasa wale si tayar Bodaboda wanajipigia.
Mkuu

Tuombee sana vizazi vyetu
 
Labda uniambie mabibi wa kanda fulani ndo nitakuelewa ila huku kanda ya ziwa wajukuu wanalelewa vyema na kufundishwa kujitegemea lala maziwa utaamshwa na kibuyu
Kanda ya ziwa ipi? Unaongelea kanda ya zaiwa ya mwanza, kagera, mara au nyingine.
Ukizaa watoto lea mwenyewe kuwapeleka kwa bibi au babu ni uwe na sababu ambayo iko nje ya uwezo wako.
Hao bibi unaowasema wewe ni asilimia 0.5 ya bibi wote Tanzania. Kwanza tunakosea kusema watoto wa pwani kwa sababu hiyo ipo maneneo yote.
 
Na hapa ndio Kuna shida.
Kwa sisi wanaume.

Mm nina amini hata kama una kipato kidogo..mkikaa pamoja na mke wako, mkaheshimiana. Mkajipanga na kulea familia na watoto kwa pamoja na kwa Ushirikiano. Na baraka zinafunguka.

Na kama basi umemzalisha mdada wa watu na huna malengo nae au mmeshindwana/kutengana basi hakikisha mwanao anapata malezi mazuri.

Tusiwaachie majukumu ya malezi wanawake pekeyao.
Mtoto ukimfuatilia kwa kila kitu anachofanya. Ananyooka.

Na huwez ona anabinua binua matako tiktok. Mtoto hata miaka 15 hana. Tayar anajua wanaume.
Dah 😣😣😣 ile video imenisikitisha sana.
Sasa wale si tayar Bodaboda wanajipigia.
Wanawake wanapitia sana mtihani kadri ninavyo kua mkubwa na zidi kufahamu.
 
Kwa nini umecheka Mkuu?
Unasema dini haisaidii kwenye malezi kwa sababu ni mambo ambayo yametungwa na binadamu
Lakini suluhisho ni Yesu Kristo ambaye naye ni character maarufu kutoka kwenye hizo dini zilizotungwa na binadamu

Sentensi yako ni sawa na kusema "Zanzibar sio sehemu nzuri kuishi, sehemu pekee ambayo inapendeza kuishi hapa Tanzania ni Unguja"
Inachekesha kwa sababu Unguja ni Zanzibar pia
 
Kwa hali ilivyo, hawa mpaka wafikishe hiyo miaka 25, muoaji (hasa church boy) kazi atakuwa nayo.

Hata hawa wanaoitwa wakubwa walikuwa kama hao.
Binti yeyote wa miaka 25 kapita walikopita Hao mabinti.
Sema Hao wamejirekodi.

Watibeli tunajua kabisa kutafuta mke kwenye wanawake wenye umri mkubwa kuanzia 23 kuendelea ni kufanya betting. Ni mmoja kwa mia moja.

Ila ukitafuta waliochini ya miaka 20 upo half half
 
Sijasoma Uzi wote.

Ila itoshe kusema siko pamoja na wewe kwenye Hili.

sasa 🤔🤔🤔 msichana aliyemaliza form four aoulewe na mwanaume wa miaka mingap?.
Yaan mwanaume asome vizur amalize Chuo, alafu mwanamke aishie form four ili aolewe?.

Ww mwanao ungependa akimaliza form four aolewe?.

Mbona ukisoma kwa mtiririko standard . Basi ukiwa na miaka 23 una degree yako.
Je miaka 23 ni umri mwanamke amechelewa kuolewa?.

Waacheni watoto wetu wa kike wasome. Hadi pale ambapo ukomo wao umefika. Ndio waolewe.

Kumbuka zama za sasahivi mwanamke aolewi ili akalime,.
Mwanamke sio Punda.
Ni life partner.
Ni rafiki, ni msaidizi, ni Mlezi wa familia yako.

Kwahiyo ni muhimu kuwasimamia vyema wakue n
Wakomae kiakili.
 
Mama zetu wote wewe unawajuwa? Umeshagundua tatizo tafuta namna ya kuhubiri jinsi ya kulitatua, waambie single fathers sijui mnawaitaje waanze kulea watoto wao kila siku wimbo mmoja na hakuna matokeo yoyote mpaka sasa! Badilisheni mfumo lol!
Wakutatua tatizo ni nyie wanawake mnaowaaminisha watu kwamba mnaweza kulea watoto wenu wenyewe wakati kila siku wajomba wanapishana mnapoishi na watoto wanaona.
Unaiaminisha jamii wewe ni mwanamke independent wakati kila siku unafukuzana na waume za watu na watoto wanaona.
Tiba sahihi ni nyie wanawake kuacha kujiona mnajiweza kwenye malezi na mnawatenga baba za watoto halafu hao watoto kila siku wanaona wajomba wapya. Akishakua anafikiria kuiba waume za watu kama mama yake anavyofanya
 
Sheria inasema vipi , binti akiwa kamaliza kidato cha nne hata kama ana 18 , na bado hajapata matokeo yake ya mitihani ya mwisho aliyo fanya?

Sheria inasema binti anaweza kuolewa hata akiwa na miaka 16 kwa ruhusa ya wazaz wake.

Kuhusu uanafunzi hilo ni jambo jingine.

Pia, kuwa na binti wa miaka 16 ukimuandaa kuwa mkeo sio kosa. Ilimradi ufuate itifaki.
 
Back
Top Bottom