Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Suala la maadili halitegemei dini pekee linaathiriwa pia na malezi, mila na desturi za jamii husika. Mfano Pwani na Arusha huwezi pata wife material
Takwimu za kimaadili kimikoa hasa kwa wanafunzi zinakataaKwa sababu ni vigumu kuwatambua Wakristo kwa urahisi.
Lakini hata hivyo hujawahi kuona Wakristo wakisemwa kwa utapeli wa makanisani mfano wakina Mwamposa ?
Sio wamo ndo wengi maana mikoa inayo ongoza kwa mimba za utotoni ni mikoa ya bara na si pwani.Pwani jamii haiwabani wanajionyesha.
Bara jamii ina wabana hawajionyeshi ila wamo sana.
Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzalisha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣Asilimia kubwa ya hao watoto wanaishi na mama au bibi au wanakaa kwa bibi na babu.
Matokeo ya single mothers wengi yameanza kujibu. Wanawake kubalini mkatae ila kuhusu malezi ya watoto wengi wenu ni hovyo sana.
Mashoga wengi ni watoto waliolelwa na single mothers au bibi. Hapa utowaona wamama wa maendeleo ya jamii au ustawi wa jamii.
Ni wanafki tu.Wakiristo wakifanya jambo wanataka tusiwaite kwa dini zao, tuwaite watz, waislam wakifanya jambo wanataka tuwaite waislam . Huu kwa upande wa Wakiristo wanaona ndio uzalendo
Ww kataa lakini masingo Mather ndo kiwanda cha kuzalisha mitoto yenye tabia mbovu.Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzaliaha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣
Kama sio muislam anakuwa KAFIRINi wanafki tu.
Wengine wanajifanya atheists kumbe ni wakatoliki.
Kazi kuuponda uislamu tu huku wakiutupia ukristo mara moja moja kuficha ajenda zao za siri.
Halafu walivyo wanafki muislamu akiamua kufuata misingi ya dini yake kikamilifu anaonekana hafai atasemwa na kubezwa akipotoka kama hao watoto pia uislamu utabagazwa.
Both ways uislamu unabagazwa.
Tunawachora tu ma atheist wa uongo kina Yoda
hakuna mtoto anazaliwa mbovu, wacha kutumia hisia, ukiona mmeshindwana na mzazi mwenzio chukua wewe mtoto wako lea mwenyewe! Simple mathematics!Ww kataa lakini masingo Mather ndo kiwanda cha kuzalisha mitoto yenye tabia mbovu.
Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzalisha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣
Mkuu uzi unahusu tabia za watoto, sio mambo ya ndoa za utotoni ambazo watoto wanauzwa na wazazi wao na ukatili wa jinsia. Hata utoro mashuleni ni jambo la mazingira magumu zaidi kuliko maadili. Mimba za wanafunzi jibu ni rahisi sana, watoto wa Pwani wana exposure kubwa kuliko wa bara katika masuala ya ngono hali inayowafanya kuweza kuzuia kupata mimba na pia kutoa mimba kwa urahisi.Takwimu za kimaadili kimikoa hasa kwa wanafunzi zinakataa
Ndoa za utotoni
Mimba za utotoni
Utoro mashuleni
Ukatili wa kijinsia
Mikoa ya pwani na kaskazini mwa Tanzania toa manyara , ipo vizuri zaidi.
Kwenye malezi bibi zetu wapo vizuri usiwahusishe na single mothersAsilimia kubwa ya hao watoto wanaishi na mama au bibi au wanakaa kwa bibi na babu.
Matokeo ya single mothers wengi yameanza kujibu. Wanawake kubalini mkatae ila kuhusu malezi ya watoto wengi wenu ni hovyo sana.
Mashoga wengi ni watoto waliolelwa na single mothers au bibi. Hapa utowaona wamama wa maendeleo ya jamii au ustawi wa jamii.
Naongea vitu ambavyo naviona siyo nadharia kama wewe. Wanawake wengi mnajitengeneza kuwa single mothers kwa kushirikiana na mama zenu. Mnatengeneza mazingira ya baba wa watoto kuonekana hawajali watoto.Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzalisha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣
Mimi sio atheistNi wanafki tu.
Wengine wanajifanya atheists kumbe ni wakatoliki.
Kazi kuuponda uislamu tu huku wakiutupia ukristo mara moja moja kuficha ajenda zao za siri.
Halafu walivyo wanafki muislamu akiamua kufuata misingi ya dini yake kikamilifu anaonekana hafai atasemwa na kubezwa akipotoka kama hao watoto pia uislamu utabagazwa.
Both ways uislamu unabagazwa.
Tunawachora tu ma atheist wa uongo kina Yoda
hakika mkuu. umeiweka vyema sana.Ulipouweka uislamu tu nikaanza kuihisi harufu ya damu.
Either ways, jamii za pwani zina malezi tofauti na hii sio issue ya leo ni miaka mingi. Mtoto anaekulia pwani anapata exposure kubwa ya sex kuliko sehemu nyingine ambazo sex ni taboo kubwa haswa kwa mtoto wa kike (angalia ngoma zao, umri average wa kuolewa, ndoa zao, etc)
Bara pia kuna baadhi ya mikoa ina balaa zito mfano Ruvuma kwa wangoni, mikoa ya Singida, hadi Arusha na Manyara kwa wambulu. Japo micharuko ya bara haijiachii sana kwa sababu ya mifumo ya jamii zao tofauti na pwani
Japo kiujumla, kimalezi changamoto ipo nchi nzima ila kuna sehemu tu imekithiri
Nyinyi si huwa mnawangangania watoto tukitaka kuwachukua?hakuna mtoto anazaliwa mbovu, wacha kutumia hisia, ukiona mmeshindwana na mzazi mwenzio chukua wewe mtoto wako lea mwenyewe! Simple mathematics!
Hakuna bibi aliyevizuri kwenye malezi ya mjukuu. Hell No, kama alikulea wewe vizuri siyo kwa mjukuu. Kama wewe umepeleka mtoto kulelewa na bibi huko umeenda kutengeneza majanga na machoko.Kwenye malezi bibi zetu wapo vizuri usiwahusishe na single mothers
Sawa ila kwa kuwa wagunduzi wameshapata conclusion kuwa wanawake wanalea watoto vibaya, tungependa kuona upande wa pili wanafanyaje! Maana unaweza kuta unabishana na vijana hata hawajawahi kuwa na familia!Shem wangu kabisa,
Ukweli ni kuwa Malezi ya upande mmoja mara nying yanachangia mmomonyoko wa maadili wa hawa watoto wetu.
Tujitahidi sana. Hata kama analelewa na upande mmoja bas apate Shule nzuri na malezi mazuri.
Ni janga kwa kweli.