Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Mimi sio atheist
Ni mnafki mmoja tu wa kikatoliki unayejifanya unakosoa kote kote kumbe ajenda yako ni kuubagaza uislamu.

Sasa kuthibitisha wewe ni mnafki ngoja nikuulize swali.

Mikoa inayoongoza kwa mimba za utotoni ni

1.Songwe-45%

2.Ruvuma-37%

3.Katavi-34%

4.Mara-31%

5.Rukwa-30%

Hiyo mikoa yote wamejaa wakristo.

Swali je ukristo ni dini inayochochea mimba za utotoni?

Je ukristo ni tatizo kwenye hiyo mikoa?

Kwanini kwenye malezi mabovu pwani kunaonekana kupo vizuri kwenye mimba za utotoni kuliko uko kwenye malezi mazuri?

Ukija kwenye takwimu zinazoongoza kwenye ukimwi napo mikoa ya bara yenye majority Christians napo mnaongoza.

Shida ni nini?

Ukristo ni shida au?
Screenshot_20261025-092250_Chrome.jpg
 
Actually, mtu kama huyu mleta uzi, huu mmomonyoko wa maadili ndio kitu ideal kwake, ndio logical conclusion ya fikra zake za "kiliberi". Kinachomuwasha ni nini?

Na bado anataka kuulaumu Uislam kwa matatizo ambayo Uislam hasa ndio Dawa yake.
Kwamba mimi natetea watoto waliovaa hijabu watukane matusi, waseme wana nyege na wajitambe kuchukua mabwana za watu huku wakijirekodi hadharani na kurusha mitandaoni??
 
Mimi nadhani watu mnaotoka mikoa ya mbali mkija pwani ndio hutaka kuiga kila jambo.

Hebu jaribu kufikiria mtu anajaribu kuiga mpka rafudhi ili aonekane wa pwani.

Mnalaumu sana pwani ila maeneo ya uswahilini kama mbagala,tandika,buza, kigogo, na mengineyo mara nyingi watu wa bush huanzia huko kujifunzia ujanja huwezi kuta mtu anajua jiji akapanga maeneo hayo.


Wewe asili yako ni wapi.
 
Naongea vitu ambavyo naviona siyo nadharia kama wewe. Wanawake wengi mnajitengeneza kuwa single mothers kwa kushirikiana na mama zenu. Mnatengeneza mazingira ya baba wa watoto kuonekana hawajali watoto.
Kitu ambacho hujabisha ni kwamba watoto wengi machoko na walioshindikana wamelelewa na single mothers au bibi na babu.
Mama zetu wote wewe unawajuwa? Umeshagundua tatizo tafuta namna ya kuhubiri jinsi ya kulitatua, waambie single fathers sijui mnawaitaje waanze kulea watoto wao kila siku wimbo mmoja na hakuna matokeo yoyote mpaka sasa! Badilisheni mfumo lol!
 
Ni mnafki mmoja tu wa kikatoliki unayejifanya unakosoa kote kote kumbe ajenda yako ni kuubagaza uislamu.

Sasa kuthibitisha wewe ni mnafki ngoja nikuulize swali.

Mikoa inayoongoza kwa mimba za utotoni ni

1.Songwe-45%

2.Ruvuma-37%

3.Katavi-34%

4.Mara-31%

5.Rukwa-30%

Hiyo mikoa yote wamejaa wakristo.

Swali je ukristo ni dini inayochochea mimba za utotoni?

Je ukristo ni tatizo kwenye hiyo mikoa?

Kwanini kwenye malezi mabovu pwani kunaonekana kupo vizuri kwenye mimba za utotoni kuliko uko kwenye malezi mazuri?

Ukija kwenye takwimu zinazoongoza kwenye ukimwi napo mikoa ya bara yenye majority Christians napo mnaongoza.

Shida ni nini?

Ukristo ni shida au?
View attachment 3698007
Mwambie ukweli.
 
Sawa ila kwa kuwa wagunduzi wameshapata conclusion kuwa wanawake wanalea watoto vibaya, tungependa kuona upande wa pili wanafanyaje! Maana unaweza kuta unabishana na vijana hata hawajawahi kuwa na familia!

Wanawake ni walezi wazuri kuliko wanaume.
Na shida sio Single mothers au single fathers au Bibi /babu.

Shida ya malezi ya sikuhizi ni Mazingira husika ambayo mtoto analelewa.

Tujitahidi kwakweli.
 
Mkuu uzi unahusu tabia za watoto, sio mambo ya ndoa za utotoni ambazo watoto wanauzwa na wazazi wao na ukatili wa jinsia. Hata utoro mashuleni ni jambo la mazingira magumu zaidi kuliko maadili. Mimba za wanafunzi jibu ni rahisi sana, watoto wa Pwani wana exposure kubwa kuliko wa bara katika masuala ya ngono hali inayowafanya kuweza kuzuia kupata mimba na pia kutoa mimba kwa urahisi.
Maadili ya watoto hasa wanafunzi yamebeba vitu gani?
 
Hakuna bibi aliyevizuri kwenye malezi ya mjukuu. Hell No, kama alikulea wewe vizuri siyo kwa mjukuu. Kama wewe umepeleka mtoto kulelewa na bibi huko umeenda kutengeneza majanga na machoko.
Labda uniambie mabibi wa kanda fulani ndo nitakuelewa ila huku kanda ya ziwa wajukuu wanalelewa vyema na kufundishwa kujitegemea lala maziwa utaamshwa na kibuyu
 
Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzalisha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣
Sio kweli

Me wakati yule khanisi wa kike anaondoka alihakikisha sina hata kijiko cha kunywea SUPU kesho sina.! 🤭

Ameondoka mpaka jiko la mkaa kalichukua kama si Nongwa ni nini.!?

Eti nichukue mwanangu wakati kila kitu umesepa nacho unataka alelewe na mama ntilie.!

Sema nyie ndio chanzo cha mashoga wengi.. mlaaniwe
 
Maadili ya watoto hasa wanafunzi yamebeba vitu gani?
Mkuu

Huyu jamaa nilimuona kuna muda ana mada fikirishi na nzuri ila nilivoona ana sapoti ushoga nikajua hili ni tatizo.

yeye ana unafiki wa wazi dhidi ya Muslims ni kama mwenzio Bigshow kuwa kejeli wakristo.

hawa ni watu wa sio na furaha wala tumaini la maisha.
 
Sio kweli

Me wakati yule khanisi wa kike anaondoka alihakikisha sina hata kijiko cha kunywea SUPU kesho sina.! 🤭

Ameondoka mpaka jiko la mkaa kalichukua kama si Nongwa ni nini.!?

Eti nichukue mwanangu wakati kila kitu umesepa nacho unataka alelewe na mama ntilie.!

Sema nyie ndio chanzo cha mashoga wengi.. mlaaniwe
Wewe ulimfanya nini mkuu.
 
Ni mnafki mmoja tu wa kikatoliki unayejifanya unakosoa kote kote kumbe ajenda yako ni kuubagaza uislamu.

Sasa kuthibitisha wewe ni mnafki ngoja nikuulize swali.

Mikoa inayoongoza kwa mimba za utotoni ni

1.Songwe-45%

2.Ruvuma-37%

3.Katavi-34%

4.Mara-31%

5.Rukwa-30%

Hiyo mikoa yote wamejaa wakristo.

Swali je ukristo ni dini inayochochea mimba za utotoni?

Je ukristo ni tatizo kwenye hiyo mikoa?

Kwanini kwenye malezi mabovu pwani kunaonekana kupo vizuri kwenye mimba za utotoni kuliko uko kwenye malezi mazuri?

Ukija kwenye takwimu zinazoongoza kwenye ukimwi napo mikoa ya bara yenye majority Christians napo mnaongoza.

Shida ni nini?

Ukristo ni shida au?
View attachment 3698007
Usilazimisha mimi kuwa kuwa atheist, mkatoliki, Buddha n.k kwa sababu ya hoja zangu hapa jukwaani, huo ni upuuzi na fikra duni sana.

Kuhusu mimba za utotoni jibu ni rahisi sana, watoto wa kike wa bara wengi ni ngumbaru wa masuala ya ngono na taarifa za uzazi kwa sababu hayo masuala ni mwiko(taboo) kuzungumzwa hadharani katika familia na jamii za bara tofauti na Pwani kwa hiyo watoto wengi wa bara (teenagers) hawajui mambo ya kupachika vijiti, siku za hatari, condom na kutoa mimba.
 
Wanawake ni walezi wazuri kuliko wanaume.
Na shida sio Single mothers au single fathers au Bibi /babu.

Shida ya malezi ya sikuhizi ni Mazingira husika ambayo mtoto analelewa.

Tujitahidi kwakweli.
Wengi humu vichwa maji na bendera fuata upepo! Anashinda anasoma comments anaanza kuziishi hata bila kuona!

Mashoga wanawatengeneza wanaume ila analaumiwa mwanamke bila wao mboo zao kukosa macho kusingekuwa na machoko!

wengi wao ndio wakienda kwa dada zao wanawabaka watoto mpaka wanaharibika wakishakuwa wakubwa always looking for one to blame, wabongo bado sana, ndio wanaanza kulaumu singo maza kama wao ndio hutia watoto wao vidole huko nyuma🚮
 
Mkuu

Watu kuna muda hujiona wanahaki sana mtoto kulelewa na mzazi mmoja kama single parent na kuwa na maadilli mabovu si wanawake pekee Bali hata wanaume tunafeli pakubwa sana.
Ni kweli kabisa mkuu, malezi ni ya kwetu sote ukiona mtoto kaharibika juwa mmeshindwa wote na ujirekebishe hata kizazi chako chote kisiteketee!

Hata maandiko yamesema mtoto mpumbavu ni mzigo wa mamaye lakini mtoto akiwa mzuri ndio furaha kwa babaye kwa hiyo ni kitu cha toka enzi na enzi!

Kama tuanataka kufurahia watoto wetu tuwajibike kuanzia ngazi ya familia na sio kushinda mitandaoni kulalamika tu kuwajibika sifuri!
 
Back
Top Bottom