Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Kwa hali ilivyo, hawa mpaka wafikishe hiyo miaka 25, muoaji (hasa church boy) kazi atakuwa nayo.
Church boy anaeza fika mahali akaomba yeye msaada kwa gwajima so mchezo akijifanya mtata ataishia kupiga gun ya kichwa mwishow church boy ataozea jela
 
Wakutatua tatizo ni nyie wanawake mnaowaaminisha watu kwamba mnaweza kulea watoto wenu wenyewe wakati kila siku wajomba wanapishana mnapoishi na watoto wanaona.
Unaiaminisha jamii wewe ni mwanamke independent wakati kila siku unafukuzana na waume za watu na watoto wanaona.
Tiba sahihi ni nyie wanawake kuacha kujiona mnajiweza kwenye malezi na mnawatenga baba za watoto halafu hao watoto kila siku wanaona wajomba wapya. Akishakua anafikiria kuiba waume za watu kama mama yake anavyofanya
Lakini kwa case nyingi wanawake kuwa single mothers ni kosa la nani?
 
Hata hawa wanaoitwa wakubwa walikuwa kama hao.
Binti yeyote wa miaka 25 kapita walikopita Hao mabinti.
Sema Hao wamejirekodi.

Watibeli tunajua kabisa kutafuta mke kwenye wanawake wenye umri mkubwa kuanzia 23 kuendelea ni kufanya betting. Ni mmoja kwa mia moja.

Ila ukitafuta waliochini ya miaka 20 upo half half

😂😂😂 mzee umekulia wap?.

I know a lot of girls ambao wameolewa miaka 25+ onwards and they made and make a good wife.

Mazingira yana matters sana mzee.
 
Sijasoma Uzi wote.

Ila itoshe kusema siko pamoja na wewe kwenye Hili.

sasa 🤔🤔🤔 msichana aliyemaliza form four aoulewe na mwanaume wa miaka mingap?.
Yaan mwanaume asome vizur amalize Chuo, alafu mwanamke aishie form four ili aolewe?.

Ww mwanao ungependa akimaliza form four aolewe?.

Mbona ukisoma kwa mtiririko standard . Basi ukiwa na miaka 23 una degree yako.
Je miaka 23 ni umri mwanamke amechelewa kuolewa?.

Hebu tuache fikra potofu.
Waacheni watoto wetu wa kike wasome. Hadi pale ambapo ukomo wao umefika. Ndio waolewe.

Kumbuka zama za sasahivi mwanamke aolewi ili akalime,.
Mwanamke sio Punda.
Ni life partner.
Ni rafiki, ni msaidizi, ni Mlezi wa familia yako.

Kwamba ukimuoa ndio kila kitu kinasimama?

Ndoa sio gereza la ndoto.
Ndio maana hata serikali sasa hivi binti akibeba mimba anaenda kujifungua kisha anaendelea na shule. Huu ni ulimwengu wa nuru. Mawazo ya giza tunayafuta.

Zamani watu walioa mpaka mimba. Wewe unazungumzia mtu mwenye miaka 18?
 
Mna uhakika wazazi wana malezi mabovu au ni kwamba utandawazi umeshika kasi kiasi kwamba unazidi malezi ya wazazi?
Wazazi wa zamani mnaona walikuwa wana malezi bora ila kiuhalisia utandawazi ulikuwa kwa kiwango cha chini kipindi hicho kuliko sikuhizi. Sio kwamba wazazi wa zamani walikuwa wanajua sana kulea, bali mazingira yaliwafavour. Hawakuwa na haja ya kuhofia mitandao ya kijamii kuharibu watoto wao
Kwa wazazi wapi hao wa sasa hivi?
Hawa ambaye hataki mtoto wake asiguswe hata kama amekosea?
Hawa wazazi ambao wanajua binti zao wana simu ,nguo ambazo hawajawanunulia na hawawaulizi walipo zitoa?
Wazazi hawa ambao wanashilikiana na mabinti zao kuwachuna wanaume?
Wazazi ambao unakuta binti wa miaka 15 hajui kupika na kufua?
 
Kabisa, na ile kujiona una haki ya kufanya lolote kisa umeoa!

Hiyo inakuwa haiwezekani binti akichoka kuvumilia lazima atarudi kwao tu!

Wanawake wazuri wapo na wanawake washenzi wapo vilevile kwa wanaume! Ila cha ajabu wanaume wote humu ni saints kbbk🤦🏽‍♀️

Safi! Na ni mindset tu nakwambia kuna watu kibao wameahuhudia mabaya kwa wazazi wao lakini hayajawaharibia mitazamo yao ktika kujenga familia bora! Wengine wanatafutaga tu visingizio wakuona yamewashinda!
Unajua nini?

Wiki hii kuna dogo amemaliza chuo wakiume mama yake ni jirani yangu kama ya rafiki though.

Sasa dogo anasema kuna binti ni mkristo kampatia ujauzito na anataka amzalie…. Nikamuuliza umeenda kujitambulisha kwao akasema hajaenda kwakua bado anategemea mama yake ambaye amezaa na wanaume wa 3 tofauti bado yupo na mwanaume wa 4 ambaye ni baba wa jambo kwa huyu dogo.

Sasa majuzi katoka msikitini kapitia akawa analalamika binti katoa ujauzito!!!!!!!!

Nikamuuliza wewe unaweza kulea anasema kwa Rehema za Allah atamlisha muda huo anategemea mama yake aende kazini ndio ale na anataka alete mjukuu.

Nilimwambia hujitambui huyo binti yupo sahihi…… yaani nilimuuliza Unajua gharama za uzazi, mtoto, chakula na kodi alibaki kaduwaa ila nilitamani nimtandike.
 
😂😂😂 mzee umekulia wap?.

I know a lot of girls ambao wameolewa miaka 25+ onwards and they made and make a good wife.

Mazingira yana matters sana mzee.

Kama umefika chuo kikuu. Angalia waliolewa ni wangapi na ambao hawajaolewa ni wangapi?

Mimi ninamiaka 10 tangu nimemaliza chuo kikuu. Nusu ya wanawake ambao wamemaliza chuo pamoja na mimi hawajaolewa. Na wamekata tamaa.

Nusu iliyobakia ndio wapo walioolewa kwa harusi na baadhi yao wanaishi sogea tukae.
 
Hiyo sio sababu ya wewe kutojua mienendo ya wanao, umri wa kuchukua mtoto upo na bado unakuwa haujachelewa sana! Hivyo visingizio tu kama una nia wala hiyo sio kitu!
Sasa mtoto na mama yake yuko dar mm niko shinyanga huo uangalizi nitaufanya saa ngapi?
 
Kwa wazazi wapi hao wa sasa hivi?
Hawa ambaye hataki mtoto wake asiguswe hata kama amekosea?
Hawa wazazi ambao wanajua binti zao wana simu ,nguo ambazo hawajawanunulia na hawawaulizi walipo zitoa?
Wazazi hawa ambao wanashilikiana na mabinti zao kuwachuna wanaume?
Wazazi ambao unakuta binti wa miaka 15 hajui kupika na kufua?
Ukianza kuchagua wazazi wabaya kurepresent wazazi wote hata zamani walikuwepo tena wengi tu. Sawa na uanze kuchagua wazazi waliokuwa wanakeketa mabinti zao, waliokuwa wanaozesha mabinti zao katika umri mdogo nk kurepresent wazazi wote wa zamani

Unatakiwa uelewe hilo, huwezi ukachagua mifano mibaya kurepresent kundi zima la watu, na mwisho wa siku utakuja kugundua hao wazazi wabaya unaowasemea ni minority
 
Unajua nini?

Wiki hii kuna dogo amemaliza chuo wakiume mama yake ni jirani yangu kama ya rafiki though.

Sasa dogo anasema kuna binti ni mkristo kampatia ujauzito na anataka amzalie…. Nikamuuliza umeenda kujitambulisha kwao akasema hajaenda kwakua bado anategemea mama yake ambaye amezaa na wanaume wa 3 tofauti bado yupo na mwanaume wa 4 ambaye ni baba wa jambo kwa huyu dogo.

Sasa majuzi katoka msikitini kapitia akawa analalamika binti katoa ujauzito!!!!!!!!

Nikamuuliza wewe unaweza kulea anasema kwa Rehema za Allah atamlisha muda huo anategemea mama yake aende kazini ndio ale na anataka alete mjukuu.

Nilimwambia hujitambui huyo binti yupo sahihi…… yaani nilimuuliza Unajua gharama za uzazi, mtoto, chakula na kodi alibaki kaduwaa ila nilitamani nimtandike.
Hii nchi ni kama kila mtu amerugwa sasa na GenZ ndio wamevurugwa zaidi.
 
Wacha kuwasemea usiowajua, hao watoto sio wabichi kama unavyotaka kutuaminisha.

Ukiona mtoto wa kike ameishiwa aibu ujue huyo ame-graduate michezo michafu aliyokuwa akiifanya akiwa shuleni.

Wakati watoto wenye maadili wakiwa darasani wanasoma, hao micharuko unaowatetea hapa walikuwa wanakwepa vipindi wanaenda kuliwa na boda na makonda mitaani.

Wameshazoea hiyo michezo ndio maana sasa wanajiona wazoefu wanaowaasa wanawake wenzao wakae vizuri na waume zao.

Hiyo ni kwasababu vinajijua vinawamudu wanaume wote tayari vina experience vilivyoipata vikiwa shule.

Hivyo vitoto ndio huwa vinaandika matusi kwenye karatasi za majibu ya mitihani ya taifa, kisha tunaulizana ni wakina nani hao!.

Hakuna mwanamke wa kuoa hapo, ukijaribu ujue kabisa jiandae kupambana na hali yako.
 
Well said huyu unatakiwa uchukue mdhibiti atulie home.

Fimbo za kutosha na Sheria Kali atanyooka tu hakuna kutoka ndani mpaka azae watoto 2 baada ya hapo muache Sasa adange Kama ataweza

Huu utakuwa uonevu.
Nazungumzia mahusiano na saikolojia.

Binti wa miaka 17 aliyemaliza kidato cha nne au aliyekidato cha nne.
Tayari kihisia anataka au kutamani kuwa na mpenzi. Umri huu unaweza kutumika kufanya courtship ambayo inaweza kwenda miaka miwili mpaka mitatu wengine mitano.

Hapo atakuwa amemaliza shule au ndio yupo chuo kama aliendelea.
Unaweka ndani.

Wahindi na waarabu wanafanya hivi. Na inafanya kazi.

Wazungu wengi wenye miaka 16-19 wanawachumba na wengine wameolewa. Hapa ndio wakati wa true love.
 
Kwamba ukimuoa ndio kila kitu kinasimama?

Ndoa sio gereza la ndoto.
Ndio maana hata serikali sasa hivi binti akibeba mimba anaenda kujifungua kisha anaendelea na shule. Huu ni ulimwengu wa nuru. Mawazo ya giza tunayafuta.

Zamani watu walioa mpaka mimba. Wewe unazungumzia mtu mwenye miaka 18?

kupata mimba na kuolewa ni vitu viwili tofauti.

Pia haujanijibu.
Ngoja niliweke hivi kuwa.
Je? Ww mwanao nikija kumtolea posa akiwa amemaliza form four au akiwa na miaka 15 unanikubalia?.

Mm nadhan tumekulia mazingira tofauti.
Ndio maana tunakinzana.

Tuwape watoto wa kike haki ya kusoma.
Hizi zama sio zile za mabibi zetu.
Hatuoi ili mwanamke aende kuwa kijakazi.

Ni zaid ya hilo.
 
Back
Top Bottom