Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Ila Pwani unaona wanaharibiwa na dini si ndiyo?Sijafika mkuu. Ila Arusha naona vijana(kike/kiume) wanaharibiwa na usela/uhuni uchwara.
Ila Pwani unaona wanaharibiwa na dini si ndiyo?Sijafika mkuu. Ila Arusha naona vijana(kike/kiume) wanaharibiwa na usela/uhuni uchwara.
We nae hujielewiUmejuaje ni waislamu?
Achana na mimi jibu hoja hauwezi kaa pembeni 🚮We nae hujielewi
Na hao walioolewa zaidi ya nusu ndoa zishavunjika.Kama umefika chuo kikuu. Angalia waliolewa ni wangapi na ambao hawajaolewa ni wangapi?
Mimi ninamiaka 10 tangu nimemaliza chuo kikuu. Nusu ya wanawake ambao wamemaliza chuo pamoja na mimi hawajaolewa. Na wamekata tamaa.
Nusu iliyobakia ndio wapo walioolewa kwa harusi na baadhi yao wanaishi sogea tukae.
Mkuu,Hata kama ingekuwa ni waislam kwani tatizo liko wapi?
Kwa sasa suala la malezi mabovu ni janga la nchi nzima sio swala la dini au ukanda.
Mizazi ya siku hizi imekuwa na malezi ya mabovu sana.
Inatakiwa iwe hivyo ile tuendelee kuvito.mber.Wanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
Kwenye ukristo hakuna single maza , hakuna malaya hakuna mauaji hakuna talaka?Inatakiwa iwe hivyo ile tuendelee kuvito.mber.
Inshu ya maadili huwezi pata kwwnye jamii ambayo ndoa ni sehemu ya kufanyia umalaya,pwani kuoa na kuachika ni kama kuingia chooni na kutoka wala sio inshu.
Mwisho wasiku singo maza kibao,hayo ndio matokeo yake sasa jamii ya hovyo hovyo..msingi wa haya yote ni uislam kueneza umalaya kupitia ndoa za haraka haraka na taraka za dakika zero.
Mpaka miaka 30 nilikuwa bado mdogo vingi tu nilikuwa sivielewi, Leave alone 18 nilipokuwa bado nacheza madange, Unataka kusemaje?
Which is not bad.
Tufanye vya faida, tuwape nchi waongoze.
HakikaInatakiwa iwe hivyo ile tuendelee kuvito.mber.
Inshu ya maadili huwezi pata kwwnye jamii ambayo ndoa ni sehemu ya kufanyia umalaya,pwani kuoa na kuachika ni kama kuingia chooni na kutoka wala sio inshu.
Mwisho wasiku singo maza kibao,hayo ndio matokeo yake sasa jamii ya hovyo hovyo..msingi wa haya yote ni uislam kueneza umalaya kupitia ndoa za haraka haraka na taraka za dakika zero.
Tukisema malezi kwa waislamu ni zero tunasemwa tuna udini.madudu yote ya ajabu ajabu yako kwao.haya pwani kila aina ya uchafu uko huko.matusi,vijola,vyote pwaniWanawake na Watoto wa Pwani ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
Takwimu zina kukataa maana huku bara hasa sehemu za mijini karibia Kila nyumba Ina singo Maza,huku bara Kila mji umejaaa madanguro ya mabinti wadogo wanao jiuza,huku bara ndo Kuna kiwango kikubwa cha mimba za utotoni kuliko pwani.Inatakiwa iwe hivyo ile tuendelee kuvito.mber.
Inshu ya maadili huwezi pata kwwnye jamii ambayo ndoa ni sehemu ya kufanyia umalaya,pwani kuoa na kuachika ni kama kuingia chooni na kutoka wala sio inshu.
Mwisho wasiku singo maza kibao,hayo ndio matokeo yake sasa jamii ya hovyo hovyo..msingi wa haya yote ni uislam kueneza umalaya kupitia ndoa za haraka haraka na taraka za dakika zero.
Kwa hiyo nyinyi wakristo mabinti zenu wana maadili sio?Tukisema malezi kwa waislamu ni zero tunasemwa tuna udini.madudu yote ya ajabu ajabu yako kwao.haya pwani kila aina ya uchafu uko huko.matusi,vijola,vyote pwani
POle sana.Wewe wakati mwanao analelewa na mwanamke uliyemzalisha unakuwa wapi? Hampati maendeleo kutwa kusimanga wanawake ukiona mwanao analelewa na singo maza mchukue lea mwenyewe tuone ubingwa wako wa malezi! Mnaongea sana🗣🗣
We maarifa uliyonayo umeyatoa wapi?!Pole sana.
Wengine wanakuwa wakubwa hata kabla hawajafika miaka 15.
Akili zinatofautiana.
Alexander the Great aliwa na miaka 20 alikuwa kwenye power.
Ukizoea kusubiri wengine wafikiri na waseme au wafanye tafiti utachelewa sana karibu kwa kila kitu.
Uzuri haya mambo yanajadiliwaMiaka 18 ni binti mkubwa kabisa.