Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Ukianza kuchagua wazazi wabaya kurepresent wazazi wote hata zamani walikuwepo tena wengi tu. Sawa na uanze kuchagua wazazi waliokuwa wanakeketa mabinti zao, waliokuwa wanaozesha mabinti zao katika umri mdogo nk kurepresent wazazi wote wa zamani

Unatakiwa uelewe hilo, huwezi ukachagua mifano mibaya kurepresent kundi zima la watu, na mwisho wa siku utakuja kugundua hao wazazi wabaya unaowasemea ni minority
Jamii ya watu wa pwani walio chukua tamaduni za kiislamu,wenye malezi bora ni minority.
 
Kabisa na ndio tofauti iliyopo. Ukiingia bara kwenye baadhi ya vijiji, kwenye sehemu za wazi huwezi jua micharuko ni kina nani kirahisi hadi wenyeji wakuambie maana wasichana karibia wote wakiwa mbele za watu, kuna aibu na staha flani wanakuwa nayo.

Pwani hawajifichi sana na ile tabia ya kuongea sana inawafanya wajiamini zaidi
Hili hapo jibu lako mkuu Kiranga
 
Na wazazi wanachangia pakubwa sana kuwaharibu watoto. Wazazi wao kutwa kucha ni shughuli tu na sare za vijora.

Wababa wa huko hawako strong enough kuheshimika na kuiongoza familia katika malezi na makuzi mazuri kwa watoto. Sijui shida kwa wengi ni nini?
 
Ww hoja yako ni unawatetea mashoga kwa sababu ushoga wao hauna athari yeyote kwa mtu mwingine sasa ww unatharika nini na hao mabinti kuiba mabwana za watu?
Kama una akili utajua kuna athari nyingi tu wewe mume wa mtu kufanya mapenzi na watoto wadogo (kuwa pedophile), ninaamini jamii haipaswi kuruhusu watoto wadogo kufanya mapenzi na watu wazima, ila sijali wewe mtu mzima mwenye miaka 45 ukiamua kugeuzwa na kijana wa miaka 30.
 
Hawa elimu ya mkoloni ilishawaharibu vibaya sana.

Muulize yeye si mwanademokrasia.
Na anaamini katika uhuru.
Binti wa miaka 16 -20 anataka kuolewa. Kwa hiyari yake. Kwa nini amzuie wakati mwanaume anasifa ya kuwa mumewe?

Muulize hapo uone wasomi wenu
Kama unataka Binti wa miaka 14, 15 au 16 aoelewe basi uruhusu pia watoto wote wenye umri huo wapige kura, waingie mikataba ya kuajiriwa na kuuziana mali, kumiliki bunduki, kunywa pombe, kugombea urais na kuendesha magari.
 
Mbona nchi nyinginza waribalerali wenzio umri wa kuolewa ni miaka 16 hali yakuwa umri wa kupiga kura ni miaka 18 na umri wa kunywa pombe ni 21?
 
Kama una akili utajua kuna athari nyingi tu wewe mume wa mtu kufanya mapenzi na watoto wadogo (kuwa pedophile), ninaamini jamii haipaswi kuruhusu watoto wadogo kufanya mapenzi na watu wazima, ila sijali wewe mtu mzima mwenye miaka 45 ukiamua kugeuzwa na kijana wa miaka 30.
Kwani hakuna vijana wadogo wanao fanya ushoga na watu wazima?
 
Kwani hakuna vijana wadogo wanao fanya ushoga na watu wazima?
Napinga mapenzi ya aina yoyote kwa watoto wadogo na watu wazima.

Kipi huelewei mkuu??!
 
Napinga mapenzi ya aina yoyote kwa watoto wadogo na watu wazima.

Kipi huelewei mkuu??!
Sera zenu za kiliberal ndo zimeleta na kuchochea huu upuunzi unao jifanya kuukemea.
Siku hizi watoto wamekuwa juu ya wazazi kutokana na visheria vya kijinga mlivyo vitunga na kuvipachika jina la haki za watoto.
 
Tafsiri ya Uliberali ni nini ?
 
Kobazi dini ipo mdomoni sio moyoni na akilini. Kubalini maadili yameshinda na muongeze mkazo kwenye familia na shule.
 
Mbona nchi nyinginza waribalerali wenzio umri wa kuolewa ni miaka 16 hali yakuwa umri wa kupiga kura ni miaka 18 na umri wa kunywa pombe ni 21?
Kwa sababu hata kwa waliberali kuna wahafidhina wajinga kama wewe na wanatunga au wanalazimisha kutungwa sheria na sera za kijinga kama ilivyo Marekani ambapo pombe kisheria inaruhusiwa kwa mtu mwenye miaka kuanzia 21 tu wakati bunduki hata mtoto wa miaka mitano anaruhusiwa kutumia.
 
Kobazi dini ipo mdomoni sio moyoni na akilini. Kubalini maadili yameshinda na muongeze mkazo kwenye familia na shule.
Ww kwenye ukoo wenu hakuna masingo mother na wavuta bangi?
 
Ww kwenye ukoo wenu hakuna masingo mother na wavuta bangi?
Tuna vichwa vizuri vya bangi haina madhara kwetu tunavuta sana ila hakuna singo maza na akipatikana hata mmoja tunamkata kichwa.
 
Kwa sababu hata kwa waliberali kuna wahafidhina wajinga kama wewe na wanatunga au wanalazimisha kutungwa sheria na sera za kijinga kama ilivyo Marekani ambapo pombe kisheria inaruhusiwa kwa mtu mwenye miaka 21 tu wakati bunduki hata mtoto wa miaka mitano anaruhusiwa kutumia.
YA kwamba ww mlibeleral uchwara kutoka Tanzagiza unawazidi akili bunge la Uingereza ambalo ndo lilio idhinisha hiyo Sheria?
 
Eee BWANA sistahili uingie kwangu lakini sema neno na watoto wangu wapone.
 
Back
Top Bottom