Hata kama ingekuwa ni waislam kwani tatizo liko wapi?Kwamba dini moyoni siyo mavazi siyo?
Pinga kwa hoja yenye nguvu , kusema ni dhaifu haitoshi kuipinga hiyo hojaSitabishana sana kuhusu hili ila hoja hii ni dhaifu sana.
Wakiristo wakifanya jambo wanataka tusiwaite kwa dini zao, tuwaite watz, waislam wakifanya jambo wanataka tuwaite waislam . Huu kwa upande wa Wakiristo wanaona ndio uzalendoWanawake na Watoto wa Pwani hasa wa Kiislamu ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
View attachment 3697979
View attachment 3697980
Kobazi wanajulikana tu. Jiulize kwanini wadau wamejua kuwa hata wewe ni kobaziUmejuaje ni waislamu?
Huu ni utamaduni wa pwani tangu siku nyingi. Internet imesaidia kuanika yalikuwa yamejificha.Wanawake na Watoto wa Pwani hasa wa Kiislamu ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.
View attachment 3697979
View attachment 3697980
Kweli kobaza anajulikana kama anavyojulikana KAFIRIKobazi wanajulikana tu. Jiulize kwanini wadau wamejua kuwa hata wewe ni kobazi
Ili uwe mchungaji ulaya lazima uwe shogaKWANINI UTUMIE
DINI IMESHINDWA KUWASAIDIA??
huoni umeleta udhaifu wa hoja yako?
Mikoa ya pwani kitakwimu ni lindi na mtwara tu tatizo la mimba kwa wanafunzi ni kubwa , ila ukija moja 1 mpaka 8 ni mikoa ambayo sio ya pwani.Kobazi wanajulikana tu. Jiulize kwanini wadau wamejua kuwa hata wewe ni kobazi
Una akili timamu?Ili uwe mchungaji ulaya lazima uwe shoga
Kujadili dini ya mtu kwa mavazi ni kukosa hoja au ushambaKwa wanafunzi wa kike hasa wanaokaribia kufanya mitihani hilo vazi anaweza kuvaa yeyote tu , unakuta kasokota vinywele anavificha kwa maandaliza ya kuwepo kitaa tu.
SongweMikoa ya pwani kitakwimu ni lindi na mtwara tu tatizo la mimba kwa wanafunzi ni kubwa , ila ukija moja 1 mpaka 8 ni mikoa ambayo sio ya pwani.
Kwa sababu ni vigumu kuwatambua Wakristo kwa urahisi.Wakiristo wakifanya jambo wanataka tusiwaite kwa dini zao, tuwaite watz, waislam wakifanya jambo wanataka tuwaite waislam . Huu kwa upande wa Wakiristo wanaona ndio uzalendo
Rahasi kumjua, ukimuona akiona hijab anachukia hiyo ujue MkiristoKwa sababu ni vigumu kuwatambua Wakristo kwa urahisi.
Lakini hata hivyo hujawahi kuona Wakristo wakisemwa kwa utapeli wa makanisani mfano wakina Mwamposa ?
Tatizo la malezi kwa sasa ni janga la nchi nzima sio swala la pwani.
Wazazi wa siku hizi wamekuwa na malezi ya hovyo sana siku hizi.
Na %kubwa ya mtoto yenye tabia mbovu ni mitoto iliyo lelewa na masingo Maza wa mijini.
Pwani jamii haiwabani wanajionyesha.Ulipouweka uislamu tu nikaanza kuihisi harufu ya damu.
Either ways, jamii za pwani zina malezi tofauti na hii sio issue ya leo ni miaka mingi. Mtoto anaekulia pwani anapata exposure kubwa ya sex kuliko sehemu nyingine ambazo sex ni taboo kubwa haswa kwa mtoto wa kike (angalia ngoma zao, umri average wa kuolewa, ndoa zao, etc)
Bara pia kuna baadhi ya mikoa ina balaa zito mfano Ruvuma kwa wangoni, mikoa ya Singida, hadi Arusha na Manyara kwa wambulu. Japo micharuko ya bara haijiachii sana kwa sababu ya mifumo ya jamii zao tofauti na pwani
Japo kiujumla, kimalezi changamoto ipo nchi nzima ila kuna sehemu tu imekithiri
Asilimia kubwa ya hao watoto wanaishi na mama au bibi au wanakaa kwa bibi na babu.Wanawake na Watoto wa Pwani hasa wa Kiislamu ndio wanaongoza kuonekana mtandaoni kuwa na utovu mkubwa wa maadili na kuharibikiwa. Huu ni msiba mzito sana.