Jamiiforum inakuwaje hawa watu mnawapa sana position ya habari za propaganda zao toka CCM

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hayo ni maoni yao yaheshimiwe, tusipende kujipa umuhimu kwamba kila maoni ya mtu yatufurahishe.

Hiyo ndiyo democracy, kama unaona hupendezwi na maoni ya watu wengine basi huijui democracy na hujui siasa
 
Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025

Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu kuwa lalamikia mkafuta.
leo hii tlaatlaah analeta habari ambazo na mnaziweka kabisa kama ukweli
GE2025 - Baada ya CHADEMA kusambaratika Demokrasia imesitawi na kushamiri vizuri zaidi tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa October 29,2025

Na mkawieka kabisa 2025 ya uchaguzi.Sasa mna maana gani
Unaomba msaada kwa refa akusaidie kupiga penati?
 
Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025

Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu kuwa lalamikia mkafuta.
leo hii tlaatlaah analeta habari ambazo na mnaziweka kabisa kama ukweli
GE2025 - Baada ya CHADEMA kusambaratika Demokrasia imesitawi na kushamiri vizuri zaidi tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa October 29,2025

Na mkawieka kabisa 2025 ya uchaguzi.Sasa mna maana gani
Binafsi hua naandika mabandiko na kueleza mambo ya kweli na ya msingi tu gentleman, tena bila kujali makasiriko au mihemko ya mdau yeyote wa mrengo wowote wa kisiasa.

Halafu bandiko hilo ni la wazi na kila mwana familia wa JF ni shuhuda kwamba kusambaratika kwa chadema kumeimarisha demokrasia, amani, usalama wa watu na makazi yao, lakini pia kumechochea uhuru na ustaarabu wa kisiasa miongni mwa vyama vya siasa na wananchi wote kwa ujumla nchini 🐒
 
Kweli haya ni makubwa kwa Taifa hili Tanzania
 
Back
Top Bottom