Unaomba msaada kwa refa akusaidie kupiga penati?Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025
Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu kuwa lalamikia mkafuta.
leo hii tlaatlaah analeta habari ambazo na mnaziweka kabisa kama ukweli
GE2025 - Baada ya CHADEMA kusambaratika Demokrasia imesitawi na kushamiri vizuri zaidi tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa October 29,2025
Na mkawieka kabisa 2025 ya uchaguzi.Sasa mna maana gani
Binafsi hua naandika mabandiko na kueleza mambo ya kweli na ya msingi tu gentleman, tena bila kujali makasiriko au mihemko ya mdau yeyote wa mrengo wowote wa kisiasa.Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025
Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu kuwa lalamikia mkafuta.
leo hii tlaatlaah analeta habari ambazo na mnaziweka kabisa kama ukweli
GE2025 - Baada ya CHADEMA kusambaratika Demokrasia imesitawi na kushamiri vizuri zaidi tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa October 29,2025
Na mkawieka kabisa 2025 ya uchaguzi.Sasa mna maana gani
Kweli haya ni makubwa kwa Taifa hili TanzaniaBinafsi hua naandika mabandiko na kueleza mambo ya kweli na ya msingi tu gentleman, tena bila kujali makasiriko au mihemko ya mdau yeyote wa mrengo wowote wa kisiasa.
Halafu bandiko hilo ni la wazi na kila mwana familia wa JF ni shuhuda kwamba kusambaratika kwa chadema kumeimarisha demokrasia, amani, usalama wa watu na makazi yao, lakini pia kumechochea uhuru na ustaarabu wa kisiasa miongni mwa vyama vya siasa na wananchi wote kwa ujumla nchini 🐒