Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ukimaliza hapa nenda na Twitter, uende na Facebook na uende na Whatsapp groups.Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Yeye aanzishe za MboweSasa kwani wao ndiyo wanaoanzisha thread mkuu? Ni watu tu wanaoanzisha threads hizo na wewe unaweza kufanya hivyo.
HahaaHawa kina jamii foruma ndo kina nani hapa dar?
Mafia wa Mbowe mtalala na viatu.why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO
BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa
Machawa ya mbowe kazini.why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO
BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa
Wewe liccm, inakuuma nini na haya mambo ya Chadema?why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO
BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa
Kwa kuanzisha za mboweSasa kwani wao ndiyo wanaoanzisha thread mkuu? Ni watu tu wanaoanzisha threads hizo na wewe unaweza kufanya hivyo.
Ukisikia upumbavu na Nusu ndo huu Sasa. Yaani wewe lipumbavu na nyongeza. Onyesha Uzi ulioanzisha ukafutwa Kenge wa Kimbiji wewe.Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Zero Brain. Jamii Forum wanahusikaje. Siyo jamii forum, bali ni wananchi na wanachama wengi wa JamiiForum wanamkubali.Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Tatizo mmezoea uongo uongo na Lissu ni kama Trump hapepesi macho wala uongo uongo wa kupooza maneno ndio manaa waoga waoga na establishment hawawezi mpenda ila sisi ambao tunataka active politics yeye ndio anatufaa kwa sasa maana ni msafi na nia na dhamira yake ni safi. Atakuwa threat sana kwa campaign za 2025 na kurudisha ile amsha amsha ya M4C miaka ya 2008-2013.why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO
BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa
Kwani wewe uliwahi kupandisha uzi wa bwanako Sultan Mbowe mods wakaufuta? Na jee moderators ndiyo wanaanzisha hizo nyuzi za Lissu humu? Madai yako hayana mashiko ni kama mumetoka kupiga konyagi na Sultan ndiyo ukaandika huu uzi.Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair.
Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini akiona post ya kumpinga Lissu haipi nafasi, shame on you.
Chawa wa Mbowe mumevurugwa mbaya.why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO
BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa
Mabwabwa ya ccm na makengeza mbowe aka ayatollah mpaka mpige ndulilu ndio lissu awaache.why haliwezekani? Mimi sipendi awe mwenyekiti vile vile, lakini siwezi kusema haliwezekani. Namshauri Mbowe afanye umafia aibe kura. FULL STOP...HUWEZI KUMKABIDHI CHAMA JITU HALINA KABA YA ULIMI. MDOMO NI MFEREJI WA MANENO YA HOVYO
BOTTOMLINE: Lisu was my favorite politician, lakini kwa lidomo lake lisilochagua la kusema hadharani na sirini, hafai kabisa