Ndio malimbukeni wenyewe hao. Eti Kiranga genius kwa sababu anaongea lugha nne. Assume Kiranga babaake Mdigo, mamaake Muha, lugha zao kazi master, kakulia Uswahilini Buguruni Kwa Mnyamanii, kasoma soma Kiingereza cha walimu wa Olympio primary kina Salma Kikwete mpaka kaki master, lugha nne hizo tayari. Hiyo inamfanya mtu kuwa genius? Duuu....Huyo anaakisi idadi kubwa ya Watanzania.
Mimi kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa eti ukienda kwenye usaili wa kazi Tanzania, kama usaili unafanyika kwa Kiingereza na ikitokea wewe msailiwa unalonga vizuri hiyo lugha basi kuna uwezekano mkubwa wa kupata kazi.
Hii thread si ilipaswa iwe ni english tupu? Watanzania kwa kuchakachua bwana...lol!
Hii thread si ilipaswa iwe ni english tupu? Watanzania kwa kuchakachua bwana...lol!
Adrenalin inakuwa juu na wanasayansi wanasema adrenalin ikikuwa juu unafanya mambo yasiowezekana kabisa.Mbona na nyie mkienda kwa eliza wa tegeta mnaongea kiinglishi kama cha kiranga?
Unawashwa masaburini wewe?Kwa hiyo akizungumza lugha nne ni genius lakini sio Kidigo, Kidengeleko, Kiswahili na Kiingereza. Wewe ni limbukeni, zungukuku, kabwela mwenye mtindio.... Eti mtu akizunguma lugha nne genius.
Unawashwa masaburini wewe?
Nyani, i am simple and clear, we hujaona huo msusuru wa mitusi yake?Mangi bana...hivi kwa nini uko mshari hivyo?
Unawashwa masaburini wewe?
...hujaona huo msusuru wa mitusi yake? ...Sasa ulitaka nifanyeje?
Oh yeah? Hujasema hivyo?As if kuna pahala nimesema kuzungumza kidengereko, kiswahili sijui na kitu gani ndo u genius, bangi mbichi noumer sometimes.
.....Kiranga is a genius kama ni kweli anazungumza lugha takriban nne(stand to be corrected by him/her)
Sasa hapa anae "washwa masaburini" ni nani kama si wewe unaemfagilia mtu kwa u genius wa kuongea kidengeleko na kiingereza? Unataka kujitegesha au? Toka lini kuongea lugha kukawa u genius? Mbona wewe unaongea kiswahili na labda kichaga na bado ni mchemfu kwa kwenda mbele? Limbukeni mkubwa wewe, jifunze kujibu kistaarabu na kurekebisha ambapo hukueleza vizuri unachotaka kukisema.
Right on! Right on!
Watanzania tunazuzuka sana na lugha hasa ya Kiingereza. Na ndiyo maana Nyerere na Mkapa wanaonekana kama vile ni majiniasi.
Na hapa ni hivyo hivyo. Ukitaka umwagiwe visifa vya uongo na kweli basi andika Kiingereza kutumia maneno ambayo hayatumiki katika maongezi au maandishi ya kawaida na baadhi watakuona wewe ni jiniasi.
Sasa kama jamaa ni jiniasi sijui Albert Einstein, Leonardo da Vinci, au Stephen Hawking ni kina nani....lol.
But what do I know...?
Kaka, umewahi kumsikia huyo Nyerere akizungumza Kiingereza? Na yeye anachapia kama kawa, anasita kutafuta neno kama non-native English speaker wengi tulivyo. Tena kwa bahati niliyopata ya kuishi ng'ambo sana, naweza kusema Nyerere na Mkapa Kiingereza chao ni kibovu kuliko cha kwangu mara kumi, lakini hawa watu siwezi kufunga kamba za viatu vyao kwa upeo wa uelewa, busara, usomi n.k. Sasa tukianza kusema Kiranga ni genius kwa sababu anaongea lugha nne, babaake Msandawe, mamaake Mpogolo, kakulia Magomeni Kwa Bi Nyau, kasoma mpaka chuo kikuu, na anapenda penda lugha, of course atakuwa anajua lugha nne! Unajua?...Na ndiyo maana Nyerere na Mkapa wanaonekana kama vile ni majiniasi.
Sio tu hayatumiki katika lugha ya kawaida, bora ingekuwa hayatumiki katika lugha ya kawaida. Kiingereza cha Kiranga mara nyingi kinavunja misingi ya sarufi, ni broken!Na hapa ni hivyo hivyo. Ukitaka umwagiwe visifa vya uongo na kweli basi andika Kiingereza kutumia maneno ambayo hayatumiki katika maongezi au maandishi ya kawaida na baadhi watakuona wewe ni jiniasi.
Kwa hiyo kwa sababu ya haya mapungufu ya kisarufi, kimantiki, kukosa viima na viarifu kwenye sentensi zake, Kiingereza hiki sikioni kama kina umakini sana. Sasa ukiandika hivyo halafu ukawa unasomwa na kina J Mushi, you know, mchaga wa milimani Machame huko sijui wa wapi huyu, of course atamuita genius! Sijui unanielewa? Wewe Nyani huwa nakuona unaandika andika viingereza viingereza hapa, lazima una vi idea idea na ninachokisema, nadhani unanielewa....
Hahahaaaa hayo yote katika uchanganuzi wako mimi nilishayaona siku nyingi sana na nilishawahi kuyasema huko siku za nyuma. Kwa hiyo nakuelewa kabisa.
Halafu, nadhani pia unajua kuwa kuzungumza kuna tofauti kubwa sana na kuandika. Hasa kuzungumza papo kwa hapo. Nadhani umenipata.
Above all, mie mwenyewe nilishalisema hili hata kabla.
Kuna kipindi threads zingine zinakwenda kwenye kufuahisha baraza na kuwapa watu wanachotaka, mtu yeyote anayefikiri naweza kuandika vituko hivi atika mawasiliano serious anahitaji kuwa examined.
Kaka, umewahi kumsikia huyo Nyerere akizungumza Kiingereza? Na yeye anachapia kama kawa, anasita kutafuta neno kama non-native English speaker wengi tulivyo. Tena kwa bahati niliyopata ya kuishi ng'ambo sana, naweza kusema Nyerere na Mkapa Kiingereza chao ni kibovu kuliko cha kwangu mara kumi, lakini hawa watu siwezi kufunga kamba za viatu vyao kwa upeo wa uelewa, busara, usomi n.k. Sasa tukianza kusema Kiranga ni genius kwa sababu anaongea lugha nne, babaake Msandawe, mamaake Mpogolo, kakulia Magomeni Kwa Bi Nyau, kasoma mpaka chuo kikuu, na anapenda penda lugha, of course atakuwa anajua lugha nne! Unajua?
Sio tu hayatumiki katika lugha ya kawaida, bora ingekuwa hayatumiki katika lugha ya kawaida. Kiingereza cha Kiranga mara nyingi kinavunja misingi ya sarufi, ni broken!
Kwa mfano:
Kiranga: The sheer parochial absurdity of this stale regiment of a thinly disguised chicanery exposes a poor attempt -if not grave wanton for respect of individuals- at humorous serendipitous eccentricities of Piddletrenthide proportions.
Neno "wanton" mara nyingi ni adjective, lazima lifatiwe na noun, hicho kinachosifiwa. Huwezi kusema, kwa mfano, the guy is wanton! Wanton what? Au, ukitaka kulitumia kama noun, lazima liwe lina discribe mtu, sasa hapa kinachosemwa ni wanton ukirudi nyuma unakuta ni neno attempt. Kusema "attemp wanton" ni broken English!
Halafu kingine, kwenye kiingereza kilichoandikwa vizuri huwezi kukuta sentensi ina of, of, of zaidi ya mbili. Cheki alivyosema: of this stale regiment ... of a thinly disguised ....of Piddletrenthide proportions. Unaona kuna ka tatizo hapo? Sijui unanielewa?
Halafu anapenda kujirudia rudia bila sababu: Kiranga: and evade eerie effable ephemeral enchantments with enviable equanimity while embarking from this putrid pungent pugilists pantomime, to a somber soliloquy of solitary sanity..... hapa keshasema ana evade hizi enchantments with enviable equanimity, yani kwa aina fulani ya ukimya, utulivu, halafu mwisho wa sentensi anarudia tena kusema anakwenda kwenye utulivu fulani, upweke wake...somber soliloquy of solitary... kasahau alipoanzia, anaanza kujirudia. Pia neno neno putrid na pungent hapa yana maana ile ile tu.
Kwa hiyo kwa sababu ya haya mapungufu ya kisarufi, kimantiki, kukosa viima na viarifu kwenye sentensi zake, Kiingereza hiki sikioni kama kina umakini sana. Sasa ukiandika hivyo halafu ukawa unasomwa na kina J Mushi, you know, mchaga wa milimani Machame huko sijui wa wapi huyu, of course atamuita genius! Sijui unanielewa? Wewe Nyani huwa nakuona unaandika andika viingereza viingereza hapa, lazima una vi idea idea na ninachokisema, nadhani unanielewa....
Nyani you are effed up in the head dawg... lolest, them dry punches are sanity wickedness!!! am in stitches 😀
Kudos my dude. Hata mimi nilikuwa ninafikiria hivyo hivyo. Nani in real life huwa anaandika au kuongea hivyo, iwe kazini au hata katika mawasiliano ya kawaida tu?
Ila ujue una ki cult of admirers! Lol.
Dii am hoping hii ni opening line ya debate you are about to indulge....lol... Nipe a go ahead nikuletee wa ku debate nae.