Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Haya, mwenyewe kakubali, kwamba yale yalikuwa ni mahoka tu, tulikuwa tuna have fun kum parody Mwita kwa sababu Mwita ni shabiki nazi wa CCM na JF for all intents and purposes ni jukwaa la upinzani Tanzania, sio siri. Lakini sio Kiingereza kile. Kwa hiyo kama ni u - genius Kiranga atakuwa nao umelalia kwingine. Kwa mfano, mi sijawahi kukutana na mswahili anaelezea particle physics kwa weledi na wepesi kama wa Kiranga. Kwa hilo namkubali Mtanzania mwenzangu. Lakini sio u genius wa kujua Kidengeleko na Kihaya cha babaake na mamaake na Kiswahili cha Tandale Kwa Mtogole alipozaliwa na Kiingereza cha Mwalimu Salma Kikwete cha Olympio Primary. Kiingereza anachoandika hapa JF ni broken!Above all, mie mwenyewe nilishalisema hili hata kabla.
Kuna kipindi threads zingine zinakwenda kwenye kufuahisha baraza na kuwapa watu wanachotaka, mtu yeyote anayefikiri naweza kuandika vituko hivi katika mawasiliano serious anahitaji kuwa examined.
J Mushi umesikia? Sio Michuzi hapa kwenye opinion leader mmoja sijui Mashaka, sijui US Blogger, hapendwi mtu hapa, kudadadadada deki!
Natoka.