JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

Above all, mie mwenyewe nilishalisema hili hata kabla.

Kuna kipindi threads zingine zinakwenda kwenye kufuahisha baraza na kuwapa watu wanachotaka, mtu yeyote anayefikiri naweza kuandika vituko hivi katika mawasiliano serious anahitaji kuwa examined.
Haya, mwenyewe kakubali, kwamba yale yalikuwa ni mahoka tu, tulikuwa tuna have fun kum parody Mwita kwa sababu Mwita ni shabiki nazi wa CCM na JF for all intents and purposes ni jukwaa la upinzani Tanzania, sio siri. Lakini sio Kiingereza kile. Kwa hiyo kama ni u - genius Kiranga atakuwa nao umelalia kwingine. Kwa mfano, mi sijawahi kukutana na mswahili anaelezea particle physics kwa weledi na wepesi kama wa Kiranga. Kwa hilo namkubali Mtanzania mwenzangu. Lakini sio u genius wa kujua Kidengeleko na Kihaya cha babaake na mamaake na Kiswahili cha Tandale Kwa Mtogole alipozaliwa na Kiingereza cha Mwalimu Salma Kikwete cha Olympio Primary. Kiingereza anachoandika hapa JF ni broken!

J Mushi umesikia? Sio Michuzi hapa kwenye opinion leader mmoja sijui Mashaka, sijui US Blogger, hapendwi mtu hapa, kudadadadada deki!

Natoka.
 
Post yangu ya kwanza kabisa katika thread hii nimekichana Kiingereza kwamba hakina logic na mantiki kama Kiswahili.

Kama hujaiona irejee, kwa msingi huo, uelewa wa Kiingereza si impressive hivyo kwangu.

Na siyo mie tu ninayesema hivyo kwa sababu unaweza kusema mie nina bias ya lugha yangu.

George Bernard Shaw mwenyewe kasaini motion kwamba Kiingereza lugha fyongo.

Basi wametuwahi tu kututawala.
 
Neno wanton ni adjective lakini linaweza kuwa noun au adverb kutegemea na unavyolitumia na ulivyoliunda. Mfano wantonly na wantonness.

Ila tukubali tu kuwa Kiingereza ni lugha ngumu. Hata wenye lugha wenyewe huwa wanachapia sana tu.

Lugha yoyote yenye karibu 50% rules na 50% exceptions automatically inakuwa ngumu.

Kiingereza na Kiswahili zote ni Lingua Franca, lakini Kiingereza ni more like a hodgepodge of a potpourri kuliko a structured language.
 
Dii am hoping hii ni opening line ya debate you are about to indulge....lol... Nipe a go ahead nikuletee wa ku debate nae.

Ashadii ukitaka kuwapamanisha watu usiwaulize wewe wachongnishe tu. teh teh teh .

BTN
can someone tell me english version of the word mchonganishi au kuchongaisha lol

Lugha yoyote yenye karibu 50% rules na 50% exceptions automatically inakuwa ngumu.

Kiingereza na Kiswahili zote ni Lingua Franca, lakini Kiingereza ni more like a hodgepodge of a potpourri kuliko a structured language.

Kiranga for few of us with "retarded" english can u use a simpler simily. in those blued words . Otherwise wewe mkareee
 
Haya, mwenyewe kakubali, kwamba yale yalikuwa ni mahoka tu, tulikuwa tuna have fun kum parody Mwita kwa sababu Mwita ni shabiki nazi wa CCM na JF for all intents and purposes ni jukwaa la upinzani Tanzania, sio siri. Lakini sio Kiingereza kile. Kwa hiyo kama ni u - genius Kiranga atakuwa nao umelalia kwingine. Kwa mfano, mi sijawahi kukutana na mswahili anaelezea particle physics kwa weledi na wepesi kama wa Kiranga. Kwa hilo namkubali Mtanzania mwenzangu. Lakini sio u genius wa kujua Kidengeleko na Kihaya cha babaake na mamaake na Kiswahili cha Tandale Kwa Mtogole alipozaliwa na Kiingereza cha Mwalimu Salma Kikwete cha Olympio Primary. Kiingereza anachoandika hapa JF ni broken!

J Mushi umesikia? Sio Michuzi hapa kwenye opinion leader mmoja sijui Mashaka, sijui US Blogger, hapendwi mtu hapa, kudadadadada deki!

Natoka.

Mkuu umeongea sana na kuongezea kuliko nilivyoongea, in other words you have done put words in my mouth.

Kuandika kiingereza kigumu na ufahamu wa lugha ya kidengereko havikuwa measurements zangu...

Soma na uelewe wenzako wanachopost kabla huja conclude stuff that is out of context on my perspectives.

Kama Kiranga na yeye alidhani nilisema hivyo kutokana na kiingereza chake basi alikosea.
 
Ashadii ukitaka kuwapamanisha watu usiwaulize wewe wachongnishe tu. teh teh teh .

BTN
can someone tell me english version of the word mchonganishi au kuchongaisha lol

Kiranga for few of us with "retarded" english can u use a simpler simily. in those blued words . Otherwise wewe mkareee

The saga continues, the vocab must fatten. Tunajifunza.

Mchonganishi = Provocateur
 
Kiranga for few of us with "retarded" english can u use a simpler simily. in those blued words . Otherwise wewe mkareee

Hodgepodge of a potpourri ni marudio tu kwa sababu maneno yote mawili yana maana moja.
 
Ashadii ukitaka kuwapamanisha watu usiwaulize wewe wachongnishe tu. teh teh teh .

BTN
can someone tell me english version of the word mchonganishi au kuchongaisha lol

Kiranga for few of us with "retarded" english can u use a simpler simily. in those blued words . Otherwise wewe mkareee

I think usha notice the way alivo mchunguliaji.... Hapo utamchonganisha vipi na hali hayupo mpaka aingie line? Labda unipe techniques......

Hapo kwa Kiranga nimeambulia tu potporri... lol.... Alafu sasa ndo yapelekea u-assume hodgepodge ni kitu gani...:lol:
 
Hodgepodge of a potpourri ni marudio tu kwa sababu maneno yote mawili yana maana moja.

Marudio yana maana kwamba kuna mchanganyiko wa michanganyiko, wa kwanza wa Anglo na Saxon, wa pili wa Anglo-Saxon na Latin/ other Indo-European languages.

Mchanganyiko ni afadhali kuliko mchanganyiko wa michanganyiko.

So the apparent repetition in "hodgepodge of a potpourri" actually serves to denote the degree of the mix.
 
Marudio yana maana kwamba kuna mchanganyiko wa michanganyiko, wa kwanza wa Anglo na Saxon, wa pili wa Anglo-Saxon na Latin/ Indo-European.

Mchanganyiko ni afadhali kuliko mchanganyiko wa michanganyiko.

Mchanganyiko wa michanganyiko ni mparaganyiko!
 
Kwa hiyo kwa sababu ya haya mapungufu ya kisarufi, kimantiki, kukosa viima na viarifu kwenye sentensi zake, Kiingereza hiki sikioni kama kina umakini sana. Sasa ukiandika hivyo halafu ukawa unasomwa na kina J Mushi, you know, mchaga wa milimani Machame huko sijui wa wapi huyu, of course atamuita genius! Sijui unanielewa? Wewe Nyani huwa nakuona unaandika andika viingereza viingereza hapa, lazima una vi idea idea na ninachokisema, nadhani unanielewa....

Hapo kwenye bold huo ni ushoga, mipasho ya kifala sina time nayo, eti mchagga wa machame, we **** kweli, na wewe kabila gani? Ama nikupe kabila na mimi?
 
Mkuu umeongea sana na kuongezea kuliko nilivyoongea, in other words you have done put words in my mouth.

Kuandika kiingereza kigumu na ufahamu wa lugha ya kidengereko havikuwa measurements zangu...

Soma na uelewe wenzako wanachopost kabla huja conclude stuff that is out of context on my perspectives.

Kama Kiranga na yeye alidhani nilisema hivyo kutokana na kiingereza chake basi alikosea.

Mangi, kubali tu Bu'yaka amekushika pabaya.
 
Wote hamwezi nishika pabaya, how?

Kuniandika kuwa mimi ni mchagga na steriotypes?

Hamna mtu wa kunitisha mtandaoni.

Mtu wa vitisho mtandaoni ana matatizo ya low self esteem na insecurities.

Beyond anonymity mtu anaespew hii diarrea ndo unaita kushikwa pabaya?
 
@ Askari Kanzu
Vipi ule ujumbe ulifikisha kwa mura
 
Back
Top Bottom