wangu Queen....game hili kuisha naona itakuwa ngumu sana....dah kweli ni game la mwaka hili...jamani its a long nice story,game likiisha nitakuhadithia.
mambo poa wangu.
Nitonye atakuja kuthibitisha hili...hahahahaha afu kweli una bahati ya kukutana na hili jina!
Hehehee mi chit chat sisomagi hata mada napoanzia ndo hapo hapoJamani mbona hujafuata mashart ya thread bht?
Dogo wetu hajambo?
Wako umezidi sana ndo maana nakushauri kila siku uupunguze maana unaniachia mkeo kumsaidia sasa nimechoka na Amy hataki tena anaona mkeo anavuka mipaka....eti hadi nanii nimsaidie lolSana sana utaishia kupiga majungu mi na wewe na mlevi yaani wewe mpaka unamkatisha tamaa Amyner kwa ulevi wako
Afu kapoteaga mazima lol.
Hehheeee anafia nchi leo hataki utani...
Saa hizi ameenda kujenga afya
Mtoto mzuri wewe mwaya usicheze
Hahahaha! Hivi kumbe hata yeye huwa anafia nchi?.... Kujenga afya muhimu bana... Sichezi kamwe!Hehheeee anafia nchi leo hataki utani...
Saa hizi ameenda kujenga afya
Mtoto mzuri wewe mwaya usicheze
Kabisa kwa hapa kunata na beat imeniwia ngumu aisee maana neno lako la mwisho limekuwa sio user friend teh
Kuuliza ni muhimu hata kama tuko chit-chat....Hehehee mi chit chat sisomagi hata mada napoanzia ndo hapo hapo
Dogo yuko poaa kabisa, asante kuuliza
Ooh great...jamani its a long nice story,game likiisha nitakuhadithia.
mambo poa wangu.
Usijali piateh teh poa usijali
Lol, una kesi ya kujibu.Wako umezidi sana ndo maana nakushauri kila siku uupunguze maana unaniachia mkeo kumsaidia sasa nimechoka na Amy hataki tena anaona mkeo anavuka mipaka....eti hadi nanii nimsaidie lol
wangu Queen....game hili kuisha naona itakuwa ngumu sana....dah kweli ni game la mwaka hili...
Nimelikubali...hakuna kulala
Looooooooolest!usicheze hili game ndugu yangu bht!hufuati kabisa rules za game!hutulii kabisa mkuu utadhani umevaa chupi kuuuubwa inayokuvuka saizi xxxxxxxl!!!!
Yale masendeu yamekatika jana, ntavaa yebo yebo.Ooh great...
Aah QK game mbona wenyewe wanadai haliishi liko kaa lile la invisible 'btn the legs'...
Mie na Gee tulishashona sare za shughuli hivoo...
SL ana dera na masendeu tayari
Hahahaha! Hivi kumbe hata yeye huwa anafia nchi?.... Kujenga afya muhimu bana... Sichezi kamwe!
xxxxxxxl!!!! hii size haipogousicheze hili game ndugu yangu bht!hufuati kabisa rules za game!hutulii kabisa mkuu utadhani umevaa chupi kuuuubwa inayokuvuka saizi xxxxxxxl!!!!
Ooh yeah tena sana tu...lolHahahaha! Hivi kumbe hata yeye huwa anafia nchi?.... Kujenga afya muhimu bana... Sichezi kamwe!
Ooh great...
Aah QK game mbona wenyewe wanadai haliishi liko kaa lile la invisible 'btn the legs'...
Mie na Gee tulishashona sare za shughuli hivoo...
SL ana dera na masendeu tayari