JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

jamani its a long nice story,game likiisha nitakuhadithia.
mambo poa wangu.
wangu Queen....game hili kuisha naona itakuwa ngumu sana....dah kweli ni game la mwaka hili...
Nimelikubali...hakuna kulala
 
Nitonye atakuja kuthibitisha hili...hahahahaha afu kweli una bahati ya kukutana na hili jina!

Jina ninalojivunia kukutana nalo ni la Yesu,,hilo la mchumbako hata mc atapata shida kulitaja siku mkifunga ndoa.
 
Jamani mbona hujafuata mashart ya thread bht?
Dogo wetu hajambo?
Hehehee mi chit chat sisomagi hata mada napoanzia ndo hapo hapo

Dogo yuko poaa kabisa, asante kuuliza
 
Sana sana utaishia kupiga majungu mi na wewe na mlevi yaani wewe mpaka unamkatisha tamaa Amyner kwa ulevi wako
Wako umezidi sana ndo maana nakushauri kila siku uupunguze maana unaniachia mkeo kumsaidia sasa nimechoka na Amy hataki tena anaona mkeo anavuka mipaka....eti hadi nanii nimsaidie lol
 
Hehheeee anafia nchi leo hataki utani...
Saa hizi ameenda kujenga afya
Mtoto mzuri wewe mwaya usicheze

usicheze hili game ndugu yangu bht!hufuati kabisa rules za game!hutulii kabisa mkuu utadhani umevaa chupi kuuuubwa inayokuvuka saizi xxxxxxxl!!!!
 
Hehheeee anafia nchi leo hataki utani...
Saa hizi ameenda kujenga afya
Mtoto mzuri wewe mwaya usicheze
Hahahaha! Hivi kumbe hata yeye huwa anafia nchi?.... Kujenga afya muhimu bana... Sichezi kamwe!
 
Hehehee mi chit chat sisomagi hata mada napoanzia ndo hapo hapo

Dogo yuko poaa kabisa, asante kuuliza
Kuuliza ni muhimu hata kama tuko chit-chat....
Ok poa msalimie sana
 
jamani its a long nice story,game likiisha nitakuhadithia.
mambo poa wangu.
Ooh great...
Aah QK game mbona wenyewe wanadai haliishi liko kaa lile la invisible 'btn the legs'...

Mie na Gee tulishashona sare za shughuli hivoo...
SL ana dera na masendeu tayari
 
Wako umezidi sana ndo maana nakushauri kila siku uupunguze maana unaniachia mkeo kumsaidia sasa nimechoka na Amy hataki tena anaona mkeo anavuka mipaka....eti hadi nanii nimsaidie lol
Lol, una kesi ya kujibu.
 
usicheze hili game ndugu yangu bht!hufuati kabisa rules za game!hutulii kabisa mkuu utadhani umevaa chupi kuuuubwa inayokuvuka saizi xxxxxxxl!!!!
Looooooooolest!
Wee hata komunio ya mwanangu hufai kuwa MC
 
Ooh great...
Aah QK game mbona wenyewe wanadai haliishi liko kaa lile la invisible 'btn the legs'...

Mie na Gee tulishashona sare za shughuli hivoo...
SL ana dera na masendeu tayari
Yale masendeu yamekatika jana, ntavaa yebo yebo.
 
Hahahaha! Hivi kumbe hata yeye huwa anafia nchi?.... Kujenga afya muhimu bana... Sichezi kamwe!
Ooh yeah tena sana tu...lol

Nakusemelezea leo wee unamuona hafanani kufia nchi?
Hivi hiligemu lilifikia wapi? Aah mi nilisoma poat yako tu nikaona umechakachua basi...
 
Ooh great...
Aah QK game mbona wenyewe wanadai haliishi liko kaa lile la invisible 'btn the legs'...

Mie na Gee tulishashona sare za shughuli hivoo...
SL ana dera na masendeu tayari

mmefanya poa kuanza matayarisho ya sare na madera inaonesha mnavyonipenda na kunijali.ila fatisha beat bana unatuharibia game letu
 
Back
Top Bottom