JamiiForums game of the year

Mh!! Nahisi huu mchezo mshindi hapatikani leo
 
mambo vipi mtu mzima? mbona sielewi hii game inachezwaje,endelea kutoa mifano zaidi ili nielewe.
 
Nielewe??? Yaani muda wote huo huelewi? Bwana/bibi ndagabwene tunaanza na neno la mwisho la mchangiaji wa mwisho. Mfano hapo juu nimeanza na neno la mwisho la sentensi uliyoandika. Umeelewa sasa??
 
Last edited by a moderator:

sasa Katavi ndio nini kuingilia kazi za watu?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…