kurusha maji kwenye KATERERO ndio mpango mzima.Nyavu zikinasa Baharini zinaweza ibuka na Chochote Katavi
So,endelea tu kurusha...!!
kurusha maji kwenye KATERERO ndio mpango mzima.
wewe hunisalimu kila siku wanipita tuu...Mzima wewe?
wewe hunisalimu kila siku wanipita tuu...
tu tu tu tuuuuuuuuu....huu ni mlio wa kitu gani?Tu times tu,
iziko tu, tu tu.
tu tu tu tuuuuuuuuu....huu ni mlio wa kitu gani?
peopleeeeeeeeees'.....powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
power tiller siku hizi zipo bei juu.
Gani?
Au Gun?
Umeshapiga Lunch wewe?
Wewe Madame B, hiyo avatar yako?
Nyavu zikinasa Baharini zinaweza ibuka na Chochote Katavi
So,endelea tu kurusha...!!
kurusha tufe ni miongoni mwa michezo inayonikumbusha shule za msingi. hivi bado ipo?
Nyavu zikinasa Baharini zinaweza ibuka na Chochote Katavi
So,endelea tu kurusha...!!
kurusha tufe ni miongoni mwa michezo inayonikumbusha shule za msingi. hivi bado ipo?
Ipo ila ckuhz ina kuja kwa kujuana juana.
Vp Mzima wewe?
Wifi hajambo?
Yako kwani?
Ni yangu tupu.
Vp umenifananisha?
Ipo ila ckuhz ina kuja kwa kujuana juana.
Vp Mzima wewe?
Wifi hajambo?
Nimekufananisha Na paka wangu hivi, hafu alshafariki. Sasa umenikumbusha machungu.
Hajambo kabisa hofu ni kwako wewe Madame B.
Abee,
Madame B nipo hapa Mkwe wangu.
Ila acha kupotea hvo,
au Ba'mkwe kaku-tight?
tight zenu mnazovaa wadada siku hizi, hamtutakii mema wakaka,:faint2:
tight inakamata ngozi kama vile mtu atembea mtupu ila tu kajipiga rangi juu ya ngozi,
Ngozi?
Unapenda kugonga ngozi ndio maana ukiona demu kavaa tight basi,
huyo.
huyo mshakaji namfahamu...akiona marinda tu,jogoo lazima awike!
wazi wazi unajilowanisha kunako...Awike jogoo wake ana nguvu?
Ila tabu jama,
heri yetu sisi huwa zikija hazijioneshi wazi.