BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
vichwa ni lugha.
lugha ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vichwa ni lugha.
nyuma sio ishu!...
Nguo za mumeo za kijani ushazichoma moto?
ishu ni kuwa na kadi ya cdm.
Moto wangu ni wa kuwaunguza midomo wale wote wasiyoitakia mema ndoa yangu!
zaidi ya hapo...naweza kusema nimeshinda hii gemu!
Gemu huja shinda.
Shinda uwanjani sio unategemea ushindi wa mezani.
Shinda uwanjani sio unategemea ushindi wa mezani.
mezani ndo mpango mzima, sisi tunacho taka ni ushindi tuu
TUU!...kwa herufi kubwa kuonesha msisitizo.
Msisitizo wa kukimbia uwanjani??
Uwanjani hapa kwa maana ya huu Uzi mtalala leo? Huu unaweza kwisha siku ya Kiyama !
The Boss anatafutwa tangu wiki iliyopita haonekani
Hahahaaaaa umeibuka na wewe? Akha huyo mi sinilikuwa nakusaidie kupiga debe juzi kati aisee mbona hivo?
hivyo kitu gani wakati we ulikimbilia ARUMERU
yangu ndio balaa zaidi....
Arumeru ya mashariki tulishuhudia vigogo wakilala mitini usiku wa manane na VX zao.
Zaidi ya yote ni ww kuwa na hiyo ndoa yenyewe ndio uweke mikakati km hiyo