JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Sana tu, watu tumechoka Na huu Uzi, hebu mtoa thread njoo unipe zawadi.
Zawadi ya nini? Ameshasema ni thread ya mwaka....hata mwezi haujaisha mshauchoka....
Hahahahahaaa
 
Kitu nilichogundua hapa mshindi hawezi kupatikana. Ng'oo.
 
Wapi nimekosea wewe SR senior? kutaka kunibania huu ushindi ndio kitu gani?
 
Back
Top Bottom