YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,702
- 972
daily news naskia limefungiwa....ni kweli??
Ni kweli au si kweli,mi hainihusu hapa ushindi ndio mpango mzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daily news naskia limefungiwa....ni kweli??
Ni kweli au si kweli,mi hainihusu hapa ushindi ndio mpango mzima.
Mzima Ynnah??
Miss you sana
Zawadi ya nini? Ameshasema ni thread ya mwaka....hata mwezi haujaisha mshauchoka....Sana tu, watu tumechoka Na huu Uzi, hebu mtoa thread njoo unipe zawadi.
Zawadi ya nini? Ameshasema ni thread ya mwaka....hata mwezi haujaisha mshauchoka....
Hahahahahaaa
hajambo....ila amesema hataki kuwasiliana na wewe sababu alishakupiga kibuti..Hahahahahaaa....mie mzima sana nami nimekumiss. Vipi Amyner hajambo?
hajambo....ila amesema hataki kuwasiliana na wewe sababu alishakupiga kibuti..
thread ni uzi?
Hahahahahaaa....mie mzima sana nami nimekumiss. Vipi Amyner hajambo?
hajambo....ila amesema hataki kuwasiliana na wewe sababu alishakupiga kibuti..
Mengi kapandisha bei ya soda!!
Sana sana nina mashaka nawe shem,Amy hajambo?Mzima Ynnah??
Miss you sana
Au wa kusukia badala ya sangita!Uzi wa kushonea au...?
wapi kwa mkwapi....maji yakipita yanapita wapi..!!Ng'oo wapi ?
Wapi nimekosea wewe SR senior? kutaka kunibania huu ushindi ndio kitu gani?
kitu gani wakati unauhitaji? Afu kitu gani jina la kocha hilo Ghana.