Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tu-anze upya huu mchezo maana kila mtu anataka ushindi
washindi sio makubaliano ya game ila ni mshindi mmoja wa jumla.
Jumla? nimeshagundua ni mapema sana kutangaza mshindi sasa, kwa hiyo twende kazi
kushindwaaa...!!?? haiwezekani...hapa lazima niibuke kidedea!!Kazi hii imenichosha, hebu nikubali kushindwa.
Kidedea Simba peke yao,hapa game itachezeka milele!kushindwaaa...!!?? haiwezekani...hapa lazima niibuke kidedea!!
yanga na azam zitatusaidia nini hapa?? hapa ishu ni ushindi wa huu uzi..mtaona nnavyoondoka na kombe!!Milele haiwezekani, iko siku watapigwa chini na Azam au Yanga.
yanga na azam zitatusaidia nini hapa?? hapa ishu ni ushindi wa huu uzi..mtaona nnavyoondoka na kombe!!
Kombe la jf game of the year naondoka nalo mimi
Mimi hapa ndio mshindi wengine wasindikizaji.
kabisaaaaa...hapo umenena...huyu hata hajua tumetokea wapi huyu...kadandia gari kwa mbele tu....shauti yake, atashangaa atakapomuona sijui nini anaondoka na :first:....Waindikizaji wa JF game of the year utawaona tu..... Kama kina Katavi, hakuwepo kabisa.
....aisee embu acheni mambo yenu...hapa tupo kwenye game!!wewe Erickb52 mbona jana umenidanganya aisee!..