JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Kitu? Maisha plus haikuwa kitu aisee, bali ilikuwa ni TV show ambayo walijaribu kuiga Big Brother.
 
Kitu? Maisha plus haikuwa kitu aisee, bali ilikuwa ni TV show ambayo walijaribu kuiga Big Brother.

big brother mwaka huu watanzania mmefanya madudu...
 
Sekta ya madini, maliasili ndio zinatisha kwa madudu.

Madudu kweli yapo katika kila sekta hapa nchini. Lakini madudu wa kutupwa ni sisi watanzania wenyewe tunaokubali hayo madudu yaendelee kufanyika.
 
Madudu kweli yapo katika kila sekta hapa nchini. Lakini madudu wa kutupwa ni sisi watanzania wenyewe tunaokubali hayo madudu yaendelee kufanyika.
Yaendelee kufanyika?? ifike wakati watanzania tujitambue.... tumechoshwa na huu wimbo "ufisadi ufisadi" wimbo wenyewe hauna chorus wala ubeti...
 
Yaendelee kufanyika??
ifike wakati watanzania tujitambue.... tumechoshwa na huu wimbo "ufisadi
ufisadi" wimbo wenyewe hauna chorus wala ubeti...

Ubeti wa mwisho utaimbwa siku wananchi watakapokuwa huru kifikra.
 
Back
Top Bottom