JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Nimekufananisha Na paka wangu hivi, hafu alshafariki. Sasa umenikumbusha machungu.

Remmy,
jamani na U-beautiful wote huu niliokuwa nao bado unanifananisha na paka.
Usije shangaa nikaja kuolewa na kaka yako.
 
tight zenu mnazovaa wadada siku hizi, hamtutakii mema wakaka,:faint2:

tight inakamata ngozi kama vile mtu atembea mtupu ila tu kajipiga rangi juu ya ngozi,
 
tight zenu mnazovaa wadada siku hizi, hamtutakii mema wakaka,:faint2:

tight inakamata ngozi kama vile mtu atembea mtupu ila tu kajipiga rangi juu ya ngozi,

Ngozi?
Unapenda kugonga ngozi ndio maana ukiona demu kavaa tight basi,
huyo.
 
Back
Top Bottom