BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
kufundisha? mimi haniwezi, labda akawafundishe watoto wadogo!
wadogo kama utitiri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kufundisha? mimi haniwezi, labda akawafundishe watoto wadogo!
wadogo kama utitiri...
utitiri wapi wakati wahapa tu wana kutoa nishai una baki kufuta machozi
damu nzito kuliko majimachozi yangu yakitoka basi ujue kuna sehemu nimemwaga damu!
damu nzito kuliko maji
maji lazima yatajwe sana na Angel kwa sababu hapendi kuyanywa mpaka aambiwe na daktari kama ana bisha anyooshe kidole.
Kidole gani cha kati au hiko kimoja?
ruttashobolwa embu mwambie huyo mathematics nahisi hanijui me nani.
nachana verse balaa
mwenyewe mwenye nini?Balaa sasa anaanza kuliona Madame B mpe verse ya pili yenye vina mwanzo, kati na mwisho mpaka akimbie mwenyewe.
mwenyewe mwenye nini?
nini? Ndio nini? Hacha kushangaa jf game of the year ina endelea
imeshaisha?bona mshindi hajatangazwa?inaendelea wapi wakati imeshaisha?
imeshaisha?bona mshindi hajatangazwa?
Hajatangazwa kwa kuwa ma-Mods na Invsbl wanataka waandae mnuso hevi plus kigodoro mpaka blogz nyingine waone donge eti!!
eti wanasema wewe ni mchovu kwenye mistari kama vipi wamalize.
Wamalize washambenga,wafunge yao midomo,
Sasa naja na mshenga,ruttashobo wape somo,
Nakuja kama japenga,msije niziba domo,
Nataka pasua siri,ila Mabwepande noma!!
ruttashobolwa hapo vipi?
JF kimenuka,Madame nakisanua,
Pusha amevaa moka,wavutaji twatanua,
Namuona Ulimboka,kitandani katulia,
Nataka pasua siri,ila Mabwepande nomaa!!
mwenyewe mwenye nini?
noma nimeona bila shaka.
Wanakusoma kama kawa.
Najua lazima wata kaaaa
kama vip madame b umetawala.
mwenye nini? Madame B ananitishia eti anaweza tema verses kali zenye vina kuliko nas escoba! :israel:
Kuliko unavodhani wewe mathematics.
Me mkare wa kuchana,wewe tu m-bishi.
Hata ruttashobolwa analijua hilo.
hagusi nini...maana vinavyoguswa vingi ati yakhee..!!hilo halina ubishi maana mistari uliyo itoa humu hakuna wa kugusa moto wa Madame B hata Godzilla hagusi.