JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Hajatangazwa kwa kuwa ma-Mods na Invsbl wanataka waandae mnuso hevi plus kigodoro mpaka blogz nyingine waone donge eti!!

eti wanasema wewe ni mchovu kwenye mistari kama vipi wamalize.
 
eti wanasema wewe ni mchovu kwenye mistari kama vipi wamalize.

Wamalize washambenga,wafunge yao midomo,
Sasa naja na mshenga,ruttashobo wape somo,
Nakuja kama japenga,msije niziba domo,
Nataka pasua siri,ila Mabwepande noma!!

ruttashobolwa hapo vipi?

JF kimenuka,Madame nakisanua,
Pusha amevaa moka,wavutaji twatanua,
Namuona Ulimboka,kitandani katulia,
Nataka pasua siri,ila Mabwepande nomaa!!
 
Last edited by a moderator:

noma nimeona bila shaka.
Wanakusoma kama kawa.
Najua lazima wata kaaaa
kama vip madame b umetawala.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom