Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

Sitaki kuamini kuwa wewe una mazoezi tofauti na wengine hapa duniani, isipokuwa unaonekana una:

wivu

mtu asiyependa mwingine apate mafanikio; mtu mwenye kijicho

Umekurupuka.

Wakufunzi wengi gym zetu za mtaani hawana mambo wengi shule walifeli hawachimbi shulle ya lishe na mazoez perfekt sababu ya lugha yafanyike vipi.

kama sio mtu wa gym huwezi kunielewa kuna gym ukienda kawaida sana trainer anakuacha bigginer ukomae mwenyewe na vyuma.
 
Napenda sana mazoezi.
Weka tips za kutosha mkuu.
Ingawa zoezi langu kuu ni kutembea kikakamavu kwa miguu.
Kuna kitu kimenifanya nianze kwenda gym. Naomba muongozo wa fullbody fitness kwa gym maana nawaona mabaunsa wengi miguu midogo sana. Mwili hauna uwiiano. Nataka kamwili kadogodogo kama brucelee. Sisi watumishi hatutakiwi kuwa na vitambi.
Tupia madini tutatii.
 
Nataka Kabla ya Christmas niwe kwèñye uzito wa Kawaida àmbao ni 63-65 Kwa Umri na kimo changu
Una urefu wa cm ngapi?

Fanya nilivyokwambia kimbia road work km 5 mara 4 kwa week chapu tu unarudi kwenye 60kg....lakini pia punguza kufukia misosi kula mara mbili kwa siku.
 
Watu wenye vitambi mna nongwa sana
Sema wewe hawa ndio wakimuona mtu wa gym mwili umekaa vizuri utasikia ukiingia gym week tu unakuwa kama vile...akiingia week anaona maumivu anakosa uvumilivu lazima akimbie na kuanza majungu.

No pain no gain.
 
Back
Top Bottom