Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

Una urefu wa cm ngapi?

Fanya nilivyokwambia kimbia road work km 5 mara 4 kwa week chapu tu unarudi kwenye 60kg....lakini pia punguza kufukia misosi kula mara mbili kwa siku.

5.6Fts

Nafikiri Kula chàkula usiku Kwa kuchelewa yàani kuanzia Sasa tatu imeongeze uzito wàngu Kwa Kasi ya ajabu.

Zamani nilikuwa nakula asubuhi Saa 3
Mchana Saa Saba
Jioni Saa Moja au nisile.

Nilikuwa modo lakini Kwa ss Hiki kitambinoma kimeota kîla kitu kimebadilika
 
Kabla ya kulala anza leo na squati....hapo juu kuna dada anapiga squart huku amebeba weight hiyo hips 'na tako chapu tu ndani ya mwenzi kama ukiwa na mwendelezo

Ila bila shaka una tumbo la chini (kitambi ).

Mimi mpaka ninunue nguo za mazoezi na viatu😃😃
Bila hivyo nakosa hamasa nahisi kama nimepewa adhabu
 
Na kifua flat kama meza nahitaji kuanza push up naomba muongozo
Kama una anza kabla ujaanza bench press kwa ajili ya kupata kifua push up ni muhimu sana kwani itakupa power ya kuinua weight na pia inajenga body structure

Anza push up kila siku jioni au asuhubi ukiamka uzuri wa push up kadri unazid kupiga ndio kiwango chako kinaongezeka unaweza ukafika hadi push up 100 kwa mara moja.

Kiwango changu ni push up 50 kwa round 10...jumla zinakuwa 500.sio powa.
 
Shukran

Nitaleta mrejesho humu
 
5.6Fts

Nafikiri Kula chàkula usiku Kwa kuchelewa yàani kuanzia Sasa tatu imeongeze uzito wàngu Kwa Kasi ya ajabu.

Zamani nilikuwa nakula asubuhi Saa 3
Mchana Saa Saba
Jioni Saa Moja au nisile.

Nilikuwa modo lakini Kwa ss Hiki kitambinoma kimeota kîla kitu kimebadilika
Anza kwa kukimbia kaka.

Kuhusu vifaa vya mazoezi ni muhimu ila sio gharama sana .ingia karume pale utapa mavazi na kiatu kwa bei kitonga kabisa mzee wangu.
 
Sina tumbo mm nipo flat trainer...😄😄
Safi kumbe ni flat tammy... hapo sasa wewe shape unayo so ni kugusa kidogo upate muonekano safi.

Pia make sure unakunywa maji mengi sana wakati wa mazoezi ngozi iwe nadhifu ili usweti uchafu utoke.
 
Mimi mpaka ninunue nguo za mazoezi na viatu😃😃
Bila hivyo nakosa hamasa nahisi kama nimepewa adhabu
Karume chapu hapo unapata hayo mavifaa kwa bei rafiki.

Kwakweli mazoezi mkiwa wawili watatu kunakuwa na hamasa mazoezi ya mtu mmoja lazima uwe unapenda sana mazoezi na malegend ndio wanaweza hii ya kupiga mazoezi hata wakiwa wenyewe tofauti na malegends.
 
Nataka nianze kupunguza Kilo Kwa Sasa Nina 75
Wakati Mwaka Jana nilikuwa ma 64/65.
Nahisi Mwili umekuwa mzito mambo mengi yamebadilika
Mchawi msosi tu utapungua, lazima utapungua mwenyewe bila kupenda. Na ukichanganya na mazoezi ndio kabisa utapungua uzito kwa spidi ya mwanga. Niliwahi piga combination ya keto diet na intermittent fasting aiseee home walinakataa sio nimi.
Kula vyakula vya protini kama vila maini,nyama,samaki,soseji,mayai, na usiwe unakimbia sana usizidi km 10 ishia km 3 mpaka 5 fanya mara mbili kwa week.
Kumbuka huyo anataka kuongeza uzito sio muscle
 
Back
Top Bottom