Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

Mkuu Nina 25 years, ulefu 6.7 ft Nina kilo 85
Natamani Sana kuwa kipande cha MTU kwakuwa tayari Nina advantage ya urefu Ila tatizo nataka kupunguza makalio Haya Mimi ni me. Naomba tips konki
 
Mkuu Nina 25 years, ulefu 6.7 ft Nina kilo 85
Natamani Sana kuwa kipande cha MTU kwakuwa tayari Nina advantage ya urefu Ila tatizo nataka kupunguza makalio Haya Mimi ni me. Naomba tips konki
Kaka kwa nyie watu warefu mnachelewa sana kujaa kwa mazoezi ya gym ila mkijaa huwa mnakuwa vipande vya watu.....hapo ili upunguze kalio anza kubeba weight.
 
Napenda sana mazoezi.
Weka tips za kutosha mkuu.
Ingawa zoezi langu kuu ni kutembea kikakamavu kwa miguu.
Kuna kitu kimenifanya nianze kwenda gym. Naomba muongozo wa fullbody fitness kwa gym maana nawaona mabaunsa wengi miguu midogo sana. Mwili hauna uwiiano. Nataka kamwili kadogodogo kama brucelee. Sisi watumishi hatutakiwi kuwa na vitambi.
Tupia madini tutatii.
Safi sana kaka kwa kupenda mazoezi hii maana yake unajua umuhimu wa mazoezi.tips zitaendelea siku na siku maana hapa tutakuwa tunajadili mazoez na aina gani ya vyakula inatupasa kula.

Kutembea kwa ukakamavu inabidi uende mpaka km 10 au ukubali kukimbia km5-6

Mwili umegawanyika kuna upper body na lower body...upper ni kuanzia kiunoni kwenda juu yani kifua(chest),mgongo(back),mabega(shoulder) na mikono(biceps and triceps)

Lowe body ni kiunoni kushuka chini yahn miguu na kalio....huku chini wengi wanapasahau(wavivu) na kupelekea mwili kuwa mkubwa juu na chini kuwa mdogo(funguo)

Pia zoezi la mguu ni gumu sana hivyo lazima ukaze kweli kweli kama uchumi unaruhu nunua bike..itakupa matokeo kwa haraka

Umeona mguu wa mabeste.
 

Attachments

  • 20231202_101949.jpg
    20231202_101949.jpg
    77.3 KB · Views: 9
  • 20231118_081634.jpg
    20231118_081634.jpg
    139.7 KB · Views: 8
Mimi sijaongezeka uzito toka mwaka 2015 nilipopima, kweli mazoezi nafanya hasa kukimbia na kuruka kamba ila hata nikiacha kufanya mazoezi kwa muda mrefu bado uzito huwa unabaki pale pale haupandi au ikitokea na ni nadra sana itaongezeka kg 1 tu au grams halafu unarudi pale pale hii iko sawa wadau ? Sina ugonjwa wowote !
nina kg 60 urefu 5.8
 
Sie wenye miaka 46 vitambi na uzito Kg 95 tunapunguzaje at least tuwe flat Kg 60±
Mkuu usinmbie unatamani upungue mpaka 60kg huko mbali sana watu watajua una ngwengwe.....mimi nina 78kg namaintain hapahapa.

Anza kumbia au kuruka kamba hilo ndio zoezi kuu la kupunguza uzito.
 
Back
Top Bottom