Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

Nina urefu wa 172cm, niko na uzito wa 62kg. Nahitaji tips za kuongeza mwili na uzito ukilinganisha na urefu.
 
Nina urefu wa 172cm, niko na uzito wa 62kg. Nahitaji tips za kuongeza mwili na uzito ukilinganisha na urefu.
Quote Reply
 
Mzee zamani nilikuwa frexble sa hivi hata kupanda juu ya paa unaona uoga so why nataka kupunguza potelea mbali maneno ya watu.
Njia ya msosi nimefeli
Dah pole sana mkuu hiyo ni changamoto kama changamoto nyingine utaishinda tu
 
Anza kukimbia kwa week mara 2 km5 ...then punguza kula kwa siku kula mara mbili na ule kwa kiasi...ukiweza usiku unapiga vyakula vyepesi kama matunda na juice

Punguza kula punguza kula...ukishindwa kujizuia kula basi nenda mloganzila ukaweke puto.
Bro Kuna aina za appetite Ni ngumu sana Ku control, unaweza kuanguka kumbe energy imepungua sababu ya mahitaji ya mwili
 
Itabidi nianze mazoezi hivi karibuni umetupa hamasa sana
 
Mi kwa wiki nafanya mazoezi ya strength siku Tatu na cardio siku mbili napumzika weekend.

Mazoezi nnayofanya zaidi ni calisthenics sifanyi na sitakuja kufanya mazoezi ya kunyanyua chuma.
 
Mkumbushe pia mazoezi lazima yaendane na nidhamu ya ulaji sio anachoma carolies jioni anaenda kufakamia viepe pale uhasibu karibu na liquid
Anza kukumbia kila siku km 4 week tu utakuwa ushakata mafuta ya kutosha na kupunguza kilo sio ch
 
Mazoezi hayachagui aina gani ya mwili muhimu ni kuwa physical fitness...ila inategemea wewe unataka mwili wa aina gani kama unataka kuwa na mwili mkubwa kama 50 cent lazima ule vizuri na uingie sana gym.
Aongezee na maprotini na creatine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…