Tanzania taifa
Member
- Sep 12, 2024
- 13
- 30
Nina urefu wa 172cm, niko na uzito wa 62kg. Nahitaji tips za kuongeza mwili na uzito ukilinganisha na urefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah pole sana mkuu hiyo ni changamoto kama changamoto nyingine utaishinda tuMzee zamani nilikuwa frexble sa hivi hata kupanda juu ya paa unaona uoga so why nataka kupunguza potelea mbali maneno ya watu.
Njia ya msosi nimefeli
Bro Kuna aina za appetite Ni ngumu sana Ku control, unaweza kuanguka kumbe energy imepungua sababu ya mahitaji ya mwiliAnza kukimbia kwa week mara 2 km5 ...then punguza kula kwa siku kula mara mbili na ule kwa kiasi...ukiweza usiku unapiga vyakula vyepesi kama matunda na juice
Punguza kula punguza kula...ukishindwa kujizuia kula basi nenda mloganzila ukaweke puto.
Asante sana🙏🏾Sawa sawa legend
Kacheki mapema afya ya hilo goti pale moi kama upo dar kuna wataalam wazuri.. ukipenda nitakudirect magoti ni sensitive sana ukipuuzia utakuja fanyia OP
Yule jamaa aliyedundwa fala,mimi nafasi kama ile hatapata nafasi ya kutoa hicho chuma....Baba usifanya mchezo na chuma....nakupa ushauri wa bure hata kama upo fit kiasi gan mtu akikutolea chuma wewe jifanye mjinga.
Itabidi nianze mazoezi hivi karibuni umetupa hamasa sanaWakuu mambo vipi....Binafsi sio mkufunzi(gym trainer) ila napenda sana mazoezi na ninayajua mazoezi kuliko hata hawa wanaojiita ma-trainer,nimeanza kupenda mzoezi ya gym nikiwa form 3 (2013) so unaweza kuona nina experience ya miaka 11.
Mazoezi pia yanaambatana na aina ya vyakula tunavyokula ukiwa mwanamazoezi automatically kuna vyakula utaanza kuviepuka kama soda na vyakula vya mafuta.Binafsi nina mwaka wa 7 sijui soda na mwaka 4 sijui chips zikoje.Mimi nafanya mazoezi sili chipsi(mafuta food) wewe je nyama uzembe.Week inasiku 7 unahitaji siku tatu mfululizo za mazoezi na siku 4 unapumzika .anza leo after 6 monthes utaona matokeo.
Nitakuwepo hapa kuwapa-assistance kwa bigginer wote.hapa ni uwanja wa mazoezi ya aina zote both weight lift and cardio(mazoezi ya kukimbia na kucheza mziki,kupunguza mafuta na kutafuta pumzi)
Uzi huu ukawe wa kuhamasishana mazoezi na kupeana tips mbali mbali najua humu kuna wataalamu zaidi na wajuzi wa lishe wa kutosha.
Zifuatazo ni Faida za Mazoezi mwilini
1. Kuboresha Afya ya Moyo.
Mazoezi ya mara kwa mara husaidia kuimarisha moyo na kuboresha mzunguko wa damu, kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
2.Kuongeza Nguvu na Uimara.
Mazoezi ya nguvu huongeza misuli na kuimarisha mifupa, huku mazoezi ya uvumilivu yakisaidia kuboresha uwezo wa mwili kustahimili uchovu.
3. Kupunguza Uzito.
Mazoezi husaidia kuchoma kalori na kupunguza mafuta mwilini, hivyo kusaidia katika kupunguza uzito.
4.Kuboresha Mvuto wa Mwili
Mazoezi ya mara kwa mara husaidia kuimarisha misuli na kufanya mwili kuwa na muonekano mzuri na wenye nguvu.
5.Kupunguza Stress na Kuboresha Hisia.
Mazoezi yanaweza kusaidia katika kupunguza viwango vya stress na kuboresha hisia kwa kuongeza uzalishaji wa endorphins, kemikali zinazofanya mtu ajihisi vizuri.
6.Kuboresha Usingizi.
Mazoezi yanaweza kusaidia kuboresha ubora wa usingizi, hivyo kukufanya uamke ukiwa na nguvu na mchangamfu.
Jinsi ya Kuanza Mazoezi
Najua wabongo wengi hatupendi mazoezi kutoka na mfumo wetu na ukuaji wetu wa maisha maana mazoezi ni sehemu ya maisha ni hii husaidia sana watu kuiishi umri ya miaka 70 mpaka 90.
1. Anza Kidogo Kidogo.
Usijaribu kufanya mazoezi mengi mara moja. Anza na mazoezi madogo na polepole ongeza muda na kiwango cha mazoezi.
2. Chagua Mazoezi Unayoyafurahia.
Tafuta aina ya mazoezi unayopenda, iwe ni kutembea, kukimbia, kuogelea, kucheza dansi, au hata mazoezi ya nyumbani. Kama unajifurahisha, utapata rahisi kuendelea.
3.Panga Ratiba.
Weka ratiba ya mazoezi na ujitahidi kuifuata. Hakikisha una muda maalum wa kufanya mazoezi kila siku au kila wiki.
4.Tumia Rafiki.
Kufanya mazoezi na rafiki kunaweza kufanya mazoezi yawe na furaha zaidi na kukuongezea motisha.
5.Lenga Malengo Madogo na Yanayowezekana.
Weka malengo madogo na yanayoweza kufikiwa. Kwa mfano, lengo la kutembea kwa dakika 20 kila siku kwa wiki moja.
6. Sikiliza Mwili Wako
Usijilazimishe kufanya mazoezi zaidi ya uwezo wako. Sikiliza mwili wako na pumzika unapohisi uchovu.
Na kifua flat kama meza nahitaji kuanza push up naomba muongozo
Anza kukumbia kila siku km 4 week tu utakuwa ushakata mafuta ya kutosha na kupunguza kilo sio ch
Aongezee na maprotini na creatineMazoezi hayachagui aina gani ya mwili muhimu ni kuwa physical fitness...ila inategemea wewe unataka mwili wa aina gani kama unataka kuwa na mwili mkubwa kama 50 cent lazima ule vizuri na uingie sana gym.
Bas T3 uhakika au siyoNipo najiburuza nacho tangu utotoni.
Hebu twende gym 🤣🤣🤣Bas T3 uhakika au siyo
Fresh twende zetu, usije niaibisha kama hujui kitu uliza sio tunafika unaanza na mazoezi ya kuweka vzr biceps & tricepsHebu twende gym 🤣🤣🤣
Mweeerh! Mbona masimango mapema!! Nimelia sana 😭😭Fresh twende zetu, usije niaibisha kama hujui kitu uliza sio tunafika unaanza na mazoezi ya kuweka vzr biceps & triceps
Siku ya kwanza tunapiga simple simple Kwa nyie wadada mnachukua picha za before mkimaliza mnachukua za afterMweeerh! Mbona masimango mapema!! Nimelia sana 😭😭