Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Dah 😅😅😅Haiombwi hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah 😅😅😅Haiombwi hivyo
Twen'zetu tukamuue BarcelonaDah 😅😅😅
Ukute lips za chini zinafanana na hizi za juu...Uko sahihi mkuu, na imagine shangazi yangu binti kiziwi ali kuwa hivi ujanani😊
View attachment 3195985
wadada wabaya utawajua tu..🤣
mi mbona sikutani na vibweka hivi..🤣Mkuu humu kuna wengine ***** zao Sasa nikupe kuna fala moja alinipa Namba yake nikajua manzi kupiga simu kapokea mwana kupokea tu akarusha matusi 🥶
Nikaona isiwe kinyonge nikamute siku ya siku tena kashusha uzi ooh sijui Ana tatoo makalioni nikampa fucker zake akashtaki kwa mods nikapgwa toka mwez wa 12 had 4th January
hahaha, Ume fikiria vyema kabisa.Ukute lips za chini zinafanana na hizi za juu...
kaka we Umesha toka huko bhana😃Hakika japo kuna Pisi moja humu mtandaoni ilikuwa inaji brand nikajua duh hii ni level za Mobetto siku ya kuona a nayo aisee nikasema siiamini tena mitandao
Kuna angle makomwe yetu hayaonekani kwa uzuri... 🤣 🤣haohao inategemea unawaangalia katika angle ipi..!
Sio siri humu pisi mzazi sipomi mbona sikutani na vibweka hivi..🤣
Heee!! 😂😂😂tulieni nyinyi mpo kwaajili ya vita tu huu wakati wa amani nikwaajili ya wadada wazuri
vipofu hawaelewi!
[/Q
Ndicho niliwaza kwa haraka haraka mkuu, nikishamaliza kazi nawaza nini tena zaidi ya kufurahia uumbaji.Khahaha, Ume fikiria vyema kabisa.
Hata Mimi nimewahi kuwa nayo katoto kadhuli, mnashoboka sana ndiomaana mnatekwa pumbavuDah hiyo nayo ni kazi sana 🤣🤣🤣
Nakumbuka hata Mimi kuna kipindi nilikuwa na I'd ya kike nilikuwa nawaendesha sana aisee but at that nilikuwa 25 but today 35+ siwezi kuwa na ujinga kama ule