JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

Mkuu secretarybird una maoni gani kuhusu uzi huu,tia neno
Mkuu Tumwesige senior ninachokijua ni kuwa mwanamke mzuri kisura hapa JF ni Yule ambaye haelewi nyuzi za nzito za huku JF kama zile za Mshana Jr, Robert Heriel Mtibeli, Kiranga, Pascal Mayalla, Tumwesige senior, Monetary doctor na badala yake hukimbilia zile nyuzi nyepesi mithili ya karatasi zitolewazo na akina Lucas Mwashambwa na fimboyaukwaju, johnthebaptist.
Hivyo basi kutokana na maelezo hapo juu unaweza kumtambua mwanamke mwenye Sura nzuri humu JF kwa kuangalia mada anazozikimbilia.

Ni hivyo.
 
fimboyaukwaju bo ya ukwaju sii mzee huyu 😂 😂 atoke humu
 
Mkuu Tumwesige senior ninachokijua ni kuwa mwanamke mzuri kisura hapa JF ni Yule ambaye haelewi nyuzi za nzito za huku JF kama zile za Mshana Jr, Robert Heriel Mtibeli, Kiranga, Pascal Mayalla, Tumwesige senior, Monetary doctor na badala yake hukimbilia zile nyuzi nyepesi mithili ya karatasi zitolewazo na akina Lucas Mwashambwa na fimboyaukwaju, johnthebaptist.
Hivyo basi kutokana na maelezo hapo juu unaweza kumtambua mwanamke mwenye Sura nzuri humu JF kwa kuangalia mada anazozikimbilia.

Ni hivyo.
Asante mkuu secretarybird kwa kutujuza
 
Back
Top Bottom