JamiiForums kila mtu yupo single

Ni kwel Mimi Niko singo, namaanisha sina mke... Ila kwakua watoto wazuri mko wengi, kuanzia wa form three hadi wastaafu sina budi kuchapa.
 
Anaringa na chura yake!
Mkuuu no matter wat aiseee ,,lazima awe naroho ya huruma nayenye upendo .

Roho yauchungu juu ya utu wamtu ,roho yamwanamke ambao huwa nayo pindi labor akisukuma kwanguvu kiumbe kitoke.

Miss natafuta ,,popote ulipo ,, rafiki yangu kipenzi Behaviourist nimuda mrefu sasa tafadhali mtazame kwa macho miwili na umkabizi moyo wako.
 
Halafu watu tukisema tumeolewa kuna mijitu inakuja kukanusha as if yanatujuaaaa.
 
Anadharau hii avatar yangu,anaona mimi sistahili wala sina sifa ya kuipiga piga makofi hiyo chura yake!!
 
Anadharau hii avatar yangu,anaona mimi sistahili wala sina sifa ya kuipiga piga makofi hiyo chura yake!!
Duuhhh Anakosea sana,kukujaji kwa avatar tu ambayo sio kitu .....
Inamaana mkuuu mchana ulivyonambia kuhusu huyu mwanamke , kumbe nikweli ???? Daaahhhhh Miss natafuta ,acha kumdharau MTU kwa Picha tu mkuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…